benluv
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 441
- 340
hahahahahahahahahhahahhahahahahahahahahahah....daaaaah poleeeee yakeeeee.. mzee unahisi kichefchef kama mimba changaNiliwahi kuzama chumvini kwa mdada mmoja toka huko rombo,ni mnene tumbo kubwa kiasi,,basi nilikutana na kiharufu furani hivi mpaka kesho bado sijajua kilitokana na nini?
Pamoja na kujitoa kwake kwangu bado huwa nikimuona tu mate yanajaa mdomoni