Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Shida kama anakuhudumia ipasavyo wewe hayo hayakuhusu mwache na hela zake

Kikubwa malengo au mipango mikakati ya maisha yenu lazima uyajue haya kama huyajui mume anaamka anaamua tu anafanya nn anaenda site mwenyewe hakushirikishi hili ndio tatizo na sio kipato chake.
 
Kuna siku niliona kikaratasi mdada mmoja akipiga hesabu maana ni mfanyakazi analipwa vizuri ila niliona katenga kama laki nane ila niliona sehemu laki mbili na 40(240k) kaonyesha kama matumizi ya nywele monthly sasa sijaelewa kwwengine chakula mavazi na usafiri

Nikasema kamando mkea na anakutegemea huyu utajamba kama anajua una kipato kikubwa zaidi izo nywele anaweza kwenda kutengeneza hata za laki tano kwa mwezi

Point yangu mwanamke hatakiwa kujua kipato chako ila mtimizie mahitaji yake . the more akijua una kipato kikubwa ndo atazidi kuhitaji vitu vya gharama tukae kijanja sana mjinii mjini akijua akicompare na jamaa anayemtongoza au ex wake akiona umezidiwa umeachwa
 
Wanawake wanapenda control.

Akizijua pesa zako lazima atashika usukani na huwezi zuia sababu papuchi yake ni tamu sana.

Sasa utajikuta tu hata ndugu hutasaidia, rafiki hutakopesha bila kuamuandikia yeye proposal yenye sababu za msingi ni kwann unataka kufanya unalofanya.

Akijiliza liza akakukatikia halafu akaanza kuzipangia matumizi mtajikuta tu nyie ni mwili mmoja.

Afahamu 75% inatosha hii 25% ni kwa ajili yangu na ndugu zangu pengine na kusaidiana na marafiki wakipata tatizo.
 
Wanawake wanapenda control.

Akizijua pesa zako lazima atashika usukani na huwezi zuia sababu papuchi yake ni tamu sana.

Sasa utajikuta tu hata ndugu hutasaidia, rafiki hutakopesha bila kuamuandikia yeye proposal yenye sababu za msingi ni kwann unataka kufanya unalofanya.

Akijiliza liza akakukatikia halafu akaanza kuzipangia matumizi mtajikuta tu nyie ni mwili mmoja.

Afahamu 75% inatosha hii 25% ni kwa ajili yangu na ndugu zangu pengine na kusaidiana na marafiki wakipata tatizo.
Huu Ndo UANAUME sasa

"Afahamu 75% inatosha hii 25% ni kwa ajili yangu na ndugu zangu pengine na kusaidiana na marafiki wakipata tatizo."
 
Habari Wana jamvi,
Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?
Ladies take note
Jibu langu ni moja tu ingia mzigoni kila kitu utajua huko huko.

Tukikuambia hapa utashindwa kuoa Jambo litakalosababisha hasara kwa taifa kwa kukosa wanaume wenye majukumu ya kiume.
 
Tunaficha mambo mengi sababu nyie sio wavumilivu kabisa! Kidume unajipinda unaweka akiba inafika hata 10M kwa ajiri ya long run projects,kama kujenga au kuanzisha biashara, mwanamke wako akishajua tu,anaanza kupanga mipango yake,mara hii tv,tuibadilishe,mara sijui hizi sofa zimepitwa na wakati,mara sijui tufanye sherehe ya miaka 2 ya ndoa yetu!

Pia wanawake hua na viherehere,anaweza chukua kile kikaratasi cha Salio,anaenda mringishia rafiki yake huko,yeye hajui kama anakutafutia kifo,maana wanaweza kuipata wazee wa ngwasuma,wakatimba usiku wa manane kuomba salio,bahati mbaya usiwe nalo home liwe bank,wanakuuwa!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
hapo kwa wanawake viherehere nimecheka sana
 
Mwanangu umeuwa! Bonge moja la point kwa siku ya leo! Ngoja niifanyie lamination kabisa hii point!

Nina mshikaji wangu kayumba kiuchumi kidogo,siku hizi mke wake hamuwekei mafuta mengi kwenye gari,anapiga hesabu kabisa za mwezi kiasi gani,ndiyo anaweka,sasa ndugu zetu si unajua misele yao,anaweza endesha gari kutoka Bunju kwenda kigamboni kusuka nywele za 30,000! Halafu anatumia mafuta zaidi ya hiyo pesa! Basi siku hizi kapata jamaa kampa kadi kabisa ya total yenye salio la 2M kwa mwezi! Ana Harrier tako la nyani! Msela anapitia wakati mugumu sana, mwanamke kawa busy kama yeye ndiyo ADC wa Samia!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyo hakuwa na upendo kwa mumewe alimpendea hela tu Sasa kayumba anaonyesha true color
 
Wanaume wasiojielewa ndio huficha mambo Matokeo Yao hufa ghafla na kuacha familia ikiteseka, Sasa unaishije na mtu usiye mwamini na hamshirikishani mambo yenu, wanaume oeni wanawake mnaoendana nao vision
Hii sio kweli, hakuna mwanaume anayependa familia iteseke baada ya yeye kufariki! Tutafanya kwa siri lakini kila rekodi ipo, ndio maana wengine hushangaa sana kukuta makabrasha ya nyaraka makabatini yana vitu visihamishika na namna vilivyolindwa na kupangwa kisheria.
 
Huu Ndo UANAUME sasa

"Afahamu 75% inatosha hii 25% ni kwa ajili yangu na ndugu zangu pengine na kusaidiana na marafiki wakipata tatizo."
hii formula alikua anaitumia rafiki yangu mmoja..yeye huwa anapokea mshahara kama 1M take home, kwahyo salary ikitoka anaenda nyumbani na laki 7 na nusu, wanaipangia bajeti ya mwezi mzima wakiwa wawili yeye na mke wake

imewasaidia sana hii wala hawajawahi kugombana japo inahitaji umpate mke mwenye akili kuweza kuipangilia matumizi vzur..
 
Mwaka juzi nilimshirikisha wife kwenye project moja bahati mbayà nikipata loss ya milioni kadhaa, ilikuwa hatari yaani wife alipiga kelele nikakosa amani, mwaka huu sijamshilikisha na nimepata loss kubwa zaidi ila nipo na furaha tu, na nimepanga sitamshirikisha tena
Asee project zake afanye mwenyewe na wewe zako fanyapeke yako, msimamie tu kuhakikisha apati hasara wala kudhulumiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom