Kwanini wanaume wacheshi huvutia sana jinsia ya kike?

Hiyo ni silaha yangu mkuu na wengi wameanguakia ncha ya upanga.uzuri wake ni mambo kama haya wala hulazimishi,yanaflow yenyewe tu.
 
Yani hii imekuwa moja kati ya silaha za maangamizi zetu sisi wanume kupata wanawake tuwapendao kwa haraka,if you don't have any sense of humor in your wallet,you better have a sense of cash in it!:A S 100:
Ni kweli kabisa wanaume wacheshi hutuvutia sababu wanawake wengi hawapendi midomo zege, mtu yuko serious kama nini vile hana hata muda wa ku socialize
 
Binadamu wate hupenda watu wacheshi walio na uwezo wa kukuchekesha na kukusahaulisha matatizo.
 
Yaaani ukiwa na mwanaume mcheshi huchoki kukaa nae, always wana come up with new things itakayokufanya ucheke sana
 
Back
Top Bottom