Kwanini wanaume wa Tanzania hufyatuka kwa hasira kali wake zao wakipoteza mapenzi kwao?

Kwanini wanaume wa Tanzania hufyatuka kwa hasira kali wake zao wakipoteza mapenzi kwao?

Ukizama vipengele vinapotea na kufa kabisa ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚.
Nakuelewa ndio maana nikasema mimi nina kipengele nimewachia nyie
Mtu akijua kisa mapenzi sio swala la kucheka na kumuona fala kafika kwenye level ya juu zaidi ya upendo.
Noma mchezo ule nyokoo๐Ÿ™Œ
 
Umemaliza!
Ni umasikini na insecurities, mimi nasemaga hata ukimuona mwanaume malaya anataka kufunya kila ch&$p, basi ujue anajifariji kuficha uzaifu wake fulani!
Not really. Wanaume wanachepuka kwasababu nyingi sana including mazoea mabaya, imani potofu, ulevi, tamaa za ghafla za kuvutiwa na wanawake wengine, stress za ki familia, kazini etc. Kwa kifupi kuchepuka kwa mwanaume huwa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hali ya kiuchumi au kimaumbile ya mwanaume. We are complex creatures just like you (women) are complex creatures. Tuvumiliane tu.
 
Mwanamke wako akichepuka utamvumilia maana na yeye ni complex creature kuna siku anaamka tu anajiskia kutokukupenda bila sababu yoyote?
 
Mwanamke wako akichepuka utamvumilia maana na yeye ni complex creature kuna siku anaamka tu anajiskia kutokukupenda bila sababu yoyote?
Kuna wakati unaweza na kuna kipindi yanakushinda. We are all humans. It depends on many other factors including uelewa wako wewe mwenyewe mwanaume, uelewa wa huyo "queen"/"king" wako, kiwango cha maudhi unayofanyiwa, afya yako/yake ya akili etc. Life is a dance my friend, we learn as we go.
 
Kwahiyo tuembrace " free relationship" hakuna vifungo eti wewe ni wangu tu na mimi ni wako tu. Kila mtu awe free as long as wote tuna furaha
 
Kwahiyo tuembrace " free relationship" hakuna vifungo eti wewe ni wangu tu na mimi ni wako tu. Kila mtu awe free as long as wote tuna furaha
Huo utakua ni uhusiano bandia. Ugumu wa kufanikiwa haumaanishi ukimbilie kushindwa. Pambana faithfully. If, after, you have tried your best, and you still think you can't stand the heat, get out of the race. Don't pretend.
 
455cad5f-79aa-4b0c-bbcc-9822273af371.jpeg
 
1) Mungu ali design ndoa ni kwa ajili ya binadamu (watoto wa Mungu)
View attachment 3600583

2) Masokwe hawakuamriwa wawaache wazazi wao waambatane na wake zao,

wala hawakuamriwa kuitawala dunia, wao ni wa kutawaliwa.

Hata hizo akili za kutawala viumbe wengine hawana, hata akili za kujitawala wenyewe hawana, wanategemea silika (instincts) akili kidogo walizopewa.

Wala hawakupewa sheria.

Wala hawajapewa nafasi ya kuchanganua na kuchagua.

Ndo hapo tunapoona tofuati kati yetu na yao sisi tuna uwezo wa kuchagua na kukataa kufanya kitu, kushawishi wengine wafanye kitu, wao hawana utashi / utambuzi huo.

View attachment 3600593

3) Baada ya Adam na Eva kuasi, baadhi ya watoto wao wakaona masokwe wana enjoy sana vile hawana akili / utashi. Wakaamua kuwa kama masokwe, lakini ni masokwe waliochangamka.

View attachment 3600596

View attachment 3600597

4) Basi ndo hawa wanaichafua taasisi ya ndoa inaonekana namna gani vipi lakini ukweli ni kuwa noa ni kwaa ajili ya watoto wa Mungu wenye Roho ya Mungu, wanaofuata sheria za Mungu, na sio kwaa ajili ya masokwe wanaojiendea bila akili.
Mbona Wahindi hawawaachi wazazi wao ili kuambatana na wake zao??
 
Back
Top Bottom