Kwanini wanaume wa Tanzania hufyatuka kwa hasira kali wake zao wakipoteza mapenzi kwao?

Mapenzi ni jambo linaloweza kuanza na kuisha hata kwa watu walio kwenye ndoa ila hapa Tanzania ni kama mwanamke akishaolewa hairuhusiwi mapenzi kwa mwanaume aliyemuoa yaishe.

Inashangaza watu wanaua watu, wanajeruhi na hadi kulawiti wanaume wenzao kwa sababu eti mke amechepuka!

Ile ahadi inayosemwa mtakuwa pamoja mpaka kifo kiwatenganishe huwa ni maneno tu kama katika kanga ila ukweli na uhalisia kwa binadamu haiko hivyo.

Wanaume wa Tanzania wametunga hadi msemo mke wa mtu ni sumu kwa hofu ya kuibiwa wake zao!
mzee jichanganye utembee na mke wa mtu, likukute jambo kwenye kijambio
 
Mapenzi ni jambo linaloweza kuanza na kuisha hata kwa watu walio kwenye ndoa ila hapa Tanzania ni kama mwanamke akishaolewa hairuhusiwi mapenzi kwa mwanaume aliyemuoa yaishe.

Inashangaza watu wanaua watu, wanajeruhi na hadi kulawiti wanaume wenzao kwa sababu eti mke amechepuka!

Ile ahadi inayosemwa mtakuwa pamoja mpaka kifo kiwatenganishe huwa ni maneno tu kama katika kanga ila ukweli na uhalisia kwa binadamu haiko hivyo.

Wanaume wa Tanzania wametunga hadi msemo mke wa mtu ni sumu kwa hofu ya kuibiwa wake zao!
Sasa tufanyeje Yoda?
Tusichukulie mapenzi kiserious sana au?
 
1) Mungu ali design ndoa ni kwa ajili ya binadamu (watoto wa Mungu)
1000056089.jpg

2) Masokwe hawakuamriwa wawaache wazazi wao waambatane na wake zao,

wala hawakuamriwa kuitawala dunia, wao ni wa kutawaliwa.

Hata hizo akili za kutawala viumbe wengine hawana, hata akili za kujitawala wenyewe hawana, wanategemea silika (instincts) akili kidogo walizopewa.

Wala hawakupewa sheria.

Wala hawajapewa nafasi ya kuchanganua na kuchagua.

Ndo hapo tunapoona tofuati kati yetu na yao sisi tuna uwezo wa kuchagua na kukataa kufanya kitu, kushawishi wengine wafanye kitu, wao hawana utashi / utambuzi huo.

1000056085.jpg

3) Baada ya Adam na Eva kuasi, baadhi ya watoto wao wakaona masokwe wana enjoy sana vile hawana akili / utashi. Wakaamua kuwa kama masokwe, lakini ni masokwe waliochangamka.

1000056091.jpg

1000056093.jpg

4) Basi ndo hawa wanaichafua taasisi ya ndoa inaonekana namna gani vipi lakini ukweli ni kuwa noa ni kwaa ajili ya watoto wa Mungu wenye Roho ya Mungu, wanaofuata sheria za Mungu, na sio kwaa ajili ya masokwe wanaojiendea bila akili.
 
Ninyi yenu ina ukomo.Ndiyo maana Wastani huwapiga mawe hadi mkalasike mkileta umang'amang'a.
Ukomo upi? 😂😂😂😂. Nimetolea tu mfano mdogo wa mood swings hormone zikivurugika ushakasirika hadi unaleta mambo ya kupigana mawe. Nikianza kuongelea postpartum depression si utaninyonga wewe kwa kukosa uvumilivu?
 
Tatizo ni umaskini, umaskini na hasira na makariko ya kiwaki ni pacha
Mapenzi ni jambo linaloweza kuanza na kuisha hata kwa watu walio kwenye ndoa ila hapa Tanzania ni kama mwanamke akishaolewa hairuhusiwi mapenzi kwa mwanaume aliyemuoa yaishe.

Inashangaza watu wanaua watu, wanajeruhi na hadi kulawiti wanaume wenzao kwa sababu eti mke amechepuka!

Ile ahadi inayosemwa mtakuwa pamoja mpaka kifo kiwatenganishe huwa ni maneno tu kama katika kanga ila ukweli na uhalisia kwa binadamu haiko hivyo.

Wanaume wa Tanzania wametunga hadi msemo mke wa mtu ni sumu kwa hofu ya kuibiwa wake zao!
 
Mapenzi ni jambo linaloweza kuanza na kuisha hata kwa watu walio kwenye ndoa ila hapa Tanzania ni kama mwanamke akishaolewa hairuhusiwi mapenzi kwa mwanaume aliyemuoa yaishe.

Inashangaza watu wanaua watu, wanajeruhi na hadi kulawiti wanaume wenzao kwa sababu eti mke amechepuka!

Ile ahadi inayosemwa mtakuwa pamoja mpaka kifo kiwatenganishe huwa ni maneno tu kama katika kanga ila ukweli na uhalisia kwa binadamu haiko hivyo.

Wanaume wa Tanzania wametunga hadi msemo mke wa mtu ni sumu kwa hofu ya kuibiwa wake zao!
Sijawahi kuwa na hofu na kitu kama hicho. Na wewe hujanyoosha maelezo. Ni uhakika mwanaume yoyote yoyote timamu akiambiwa ukweli na mke wake kwamba yeye mapenzi yameisha anataka kuanzisha mahusiano mengine au anataka kusepa. Nitamruhusu asubuhi kabisa. *TATIZO AMBALO WEWE HUJALIFINGUA NI HUYO MWANAMKE KUANZISHA MAHUSIANO MENGINE KWA KIFICHO NDANI YA MAHUSIANO YANGU. HILO NDILO KOSA KUBWA,ANALOPASWA KUCHOMWA NA GUNIA MBILI
 
Mapenzi ni jambo linaloweza kuanza na kuisha hata kwa watu walio kwenye ndoa ila hapa Tanzania ni kama mwanamke akishaolewa hairuhusiwi mapenzi kwa mwanaume aliyemuoa yaishe.

Inashangaza watu wanaua watu, wanajeruhi na hadi kulawiti wanaume wenzao kwa sababu eti mke amechepuka!

Ile ahadi inayosemwa mtakuwa pamoja mpaka kifo kiwatenganishe huwa ni maneno tu kama katika kanga ila ukweli na uhalisia kwa binadamu haiko hivyo.

Wanaume wa Tanzania wametunga hadi msemo mke wa mtu ni sumu kwa hofu ya kuibiwa wake zao!
Kama ameona mapenzi yameisha si achape lapa? Kwanini aendelee kuwemo kwenye NDOA huku akikitembeza kitumbua nje?
 
Back
Top Bottom