Kwanini Wanaume wa Pwani wanajua sana mapenzi kuliko wa Bara?

Habari waungwana :

Jamani naomba kuuliza hivi kwanini Wanaume wa Pwani wanajua sana mahaba tofauti na wale wanaume wa bara

Wanaume wa bara kwenye kuonga aswa kina ngosha wapo vizuri hatari ila kunako mahaba,, mmmh

Ila ukija kwa mahaba wanaume Wa pwani wapo njema. Tatizo la wanaume wa pwani Umalaya na uongoooo bwana, sijui kama wana mshindani katika ilo .
huyu ni wewe hongera
 
wewe itakua umezoeshwa kuliwa Tigo tu na hao vijana wa pwani.

Mana wana hatari sana kwenye hayo mambo lazima ulewe nayo yakikukolea.
 
Back
Top Bottom