Kwanini wanaume wa Kibongo tunapenda sana mademu wanene wakati Ulaya wanapenda wembamba?

mie sipendi mibonge kama micheza sumo ya kijapani ile ila napenda chubby women.
mfano mzuri, yule kondoo alietafunwa na baba askofu Gwaji boy.
 
W
ni kweli wembamba wanapenda wanene mabaunsa wanapend vimbaumbau mimi ni mnene ila wastani kuvutia na vutia wengi ila mwishow a siku atakayekuoa ni mmoja tu maishani.
Wanene ni rahisi sana kuogelea kwenye Mapaja, lkn vimbaumbau km una mkono wa mtoto ndo wenyewe wale! kibamia na kimbau wapi na wapi! lazima uogelee tu1!
 
Back
Top Bottom