Kwanini wanaume tunapenda wanawake walioshindikana?

Lakin kitabu hakimaanishi Bitch aa in malaya wa kujiuza..
Anyways, naona sio topic ya leo
 
Wateja wengi wa wanawake wanaoujiuza % kubwa Ni wanaume walio kwenye ndoa.
 
Mungu atusaidie tuu, mmehama kwa wenye matako makubwa mmehamia kwa malaya . Tutafka tu
Mkuu usituhamishe, hapa tunazungumzia wanawake wenye matako makubwa na pia ni malaya kitandani.
Chura ndio kipaumbele chetu kwa kila mwanaume rijali.
 
Hivi single maza kama ze faza hajafa si kuna kila dalili ameshindikana kwa aliyezaa naye, mbona wanaogopwa sasa ?😁
 
Kuna baba aliwahi kuniambia kuwa wanawake 'lamaya' wako na chances kubwa sana za kuolewa.

Ngoja nisome comments nijue why!
 
Hapa mtaani kuna madoni kama watatu.

Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja.

Doni wa pili alipata mke ambaye ni kicheche mtaa mzima alipotoka kwao wamejishindia amri ya sita.

Doni wa tatu alipata mke baada mwanamke huyo kashaolewa na kuachwa bado kidogo kuharibu kitabu cha bakwata kwa jina lake kuandikwa sana.

Tuje hapa kwa sisi wanaume sitaki kuzungumza wenye pesa zao.

wingine humu wapenzi wenu na wake zenu mliwapenda kama hiki kitabu.

View attachment 1981015
Research yangu ndogo wanawake wengi wanapenda kwenda kwa waganga na as a result wanachopata hamna cha maana wanachofanya zaidi ya kununua nguo na luxurious stuffs,inakuwa kama zina laana hela zao pata references kwa mastar wabongo na wengine unaowajua then connect the dots.
 
Back
Top Bottom