Kwanini wanaume tunakuwa wahanga wa kuomba uhusiano mtandaoni?

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,711
Rejea kichwa cha habari hapo juu!!!

Ukipita kwenye mitandao mingi ya kijamii,utagundua kuwa vijana wa kiume ndio wanaojitokeza zaidi kuomba mahusiano kwa kutumia mitandao hiyo,mfano hata humu JF,............Facebook,twitter na mitandao mingine chipukizi na unpopular pia... nakadhalika,nakadhalika.

-Kwa kweli sio kitu kibaya sana kutafuta RAFIKI au MPENZI kwa kutumia mitandao ya kijamii,na sio kuwa hakuna wanawake wanaotafuta nao kwa kutumia mitandao.LA HASHA idadi ya vijana wa kiume ni kubwa zaidi.

1)Je wanaume ni wengi zaidi katika kila aspects?

2) Wanaume ni jasiri zaidi kufanya hivyo?(kuomba uhusiano)

3)Je ni rahisi zaidi kutumia njia hizo kuliko njia zingine?


na pia kuna yatokanayo na hayo,ambayomwanaume mhusika anapaswa ajiulize

Je unaamini mahusiano ya kweli yanaweza kupatikana kwenye mitandao?na urafiki/uhusiano ukadumu?---ndio sikatai,inatokea kijana wa kiume akampata mweza kwenye njia hii lakini je ni wangapi kati ya 100 wanaofanikiwa ?

JE WEWE UMEGUNDUA NINI KUTOKANA NA IDANI KUBWA YA WANAUME KUTAFUTA URAFIKI AU MAHUSIANO KWA NJIA YA MITANDAO?
 
1454005519266.jpg
 
MKUU neno wahanga manaake victim hiyo heading ina utata! any way njia ya mtandao inatumika kwakuwa ni tekinolojia iliyopo pili wanaume wana nguvu ya uchumi na ni wajibu wa mwanaume kusaka vimwana kuliko mwanamke kusaka wanaume

mkuu nimekuelewa sana...lakini je ni kujifurahisha au wanafanikiwa pia?
 
Sio wanaume tu .
Wanawake wana fanya hivyo sana.
Bali kwa PM. Huwa Kuna uoga fulani hivi
Kwa mwanamke kujitoa muhanga mazima.


okay,,,wanawake huwa wanaona soo fulan hivi kumake first move... hiyo ya pm sijawahi isikia
 
mkuu nimekuelewa sana...lakini je ni kujifurahisha au wanafanikiwa pia?
wanafanikiwa.vinginevyo wangeacha.sema wanawake wengi wa mitandaoni ni wale walioshindikana.kwa hiyo mchezo.unakuwa mbwa kala mbwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom