Kwanini wanaume tunakuwa wahanga wa kuomba uhusiano mtandaoni?

7bc4ff8509f3e081549cfed4eb84bdd9.jpg
 
Vitu vingi vimeumbwa. Kumnufaisha mvulana.kwanza...then..msichana anafuata...ndio maana mvulana anaonekana mwanaharakat sana.kuliko msichana...angalIa hats watoa mada wengi. Niwavulana..kwa culture zetu za kibongo Demu. Ajafikilia level ya kuwa open Minded kiivo
 
kweli inaweza kuwa hivyo...inachangiwa pia na level ya kujiamini
 
Back
Top Bottom