brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,268
Hahahaa what are you trying to say..umenikumbusha mbali aisee....those were the days man! very genuine, very romantic......neno baby halikuwepo! Uki flow vizuri lyrics unaona dada anatazama chini, kidole gumba cha mguu kinachimba ndagu ndagu, au anauma kucha za mkononi....hapo kila mtu adrenaline inapanda.....deodorants hakuna....ni mchanganyiko wa harufu ya mafuta ya ayu na majasho ya kikwapa...hahahah....ma fake hayakuwepo ....
Mkuu kama nikuchagua nyakati, mie ningechagua enzi hizo...
Teh kama ni mti majani yatachumwa mpaka mti uishe,lol