Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,520
Akitokea mwanaume anayekupenda na kukujali na kukuthamini na kufikia mahali akamwaga chozi kwa ajili yako, basi watoto wa kike humchukulia mwanaume huyu kama fala na mdhaifu na kumtumia watakavyo.
Na ndo wanaongozwa kwa kuachwa kulikoni wale ambao hawajali sana watoto wa kike?
Na ndo wanaongozwa kwa kuachwa kulikoni wale ambao hawajali sana watoto wa kike?