Kwanini Wanaume siku hizi wanapenda wanawake wenye WOWOWO?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,743
14,667
Hivi NI ushamba au wanaume wanaiga au NI fashion?

Sikuhizi Kila mwanaume anapenda mwanamke mwenye WOWOWO au mwenye chura au aliyejaa Mavi au alijaaliwa Maji Taka

NI kwamba mnataka wale wembamba wakapendwe na nani SASA?

Kuna siri gani kwenye wanawake wenye Wowowo?

Kwanini wanaume wa kibongo sikuhizi wanapenda wanawake wenye Wowowo?

 
Sababu ni hiii
 

Attachments

  • IMG_20190209_122417_348.JPG
    IMG_20190209_122417_348.JPG
    44.7 KB · Views: 87
Back
Top Bottom