Kwanini wanaume mnaumia mkigongewa wake zenu wakati nyie mnagonga wa wenzenu?

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,377
Dah! Umeowa mkee wako kila kitu unampaa na bado anakuzunguka. Umeolewa na unampa mumeo kila kitu na Bado anazunguka

Je, ni kuchokana au kutafuta ladha mpyaa au uwanja wa kila siku hauna raha?

JAMANI MKEE ANAUMAA

Wewe harusi na mahari umelipa watu wanakula free header

SEMA CHA MTUU KITAMU
 
121966278_2728382114104236_8202146882746551404_n.jpg.jpeg

majibu tosha
121966278_2728382114104236_8202146882746551404_n.jpg.jpeg
 
Acha ujinga siku moja utengeneze asari. Mkeo Akipata mimba huko ni mzigo ndani kwako utalea!mpaka... Vitoto vinasumbua mara homa mara kamecheza huko kamevunjika gharama ni za baba. Hapo Bado shule atahesabu makosa tuu!!!

Akikua mbaba hakawii kukutia vitasa mbaya zaidi ukimgusa mamake. utalala nje siku hiyo.

Akiwa km jiwe weee! Atakuzodoa mpaka ukome.
Ukimuomba hela utasikia.

"Mijitu mingine bana yaani mimi kuwa Rais linataka hela! Hela tuuu! shabash!!! Za nini? Ukahonge?
""Mimi natengeneza hela? Lisu alitaka kuniua!! Nikamuwahi. Wewe unaleta shida zako hapa!ningekufa je? hela unge muomba nani?
Wa tanzania hamunitaki kura zenu mmempa Lisu zote. ni mamangu tu amenipigia.Alhamdulilah! nimeshinda kwa akili zangu za kibabe. Kaombe watanzania siyo mimi. Ukitaka kaa ule. kwanza una bahati kuwa na mamangu.

Mleta Mada hujaondoka tuu hapo gizani usiku tena bila kuaga? Nakuuliza!
Laana haimpati ng'ooo ajili siyo mtoto wa mifupa yako. Ulikubali kulea ujinga wkt Mungu alikupa akili ya utambuzi ukapuuza.

lkn damu yako inaangalia chini mahela utapewa tena na sifa juu " Daaa mshua bana yuko makini sana" na mimi ntakuwa ivoivo!. Kwanza huombi unakatiwa midolali kimya tu na escort juu, hakosi kukutaja hadharani km Nyerere, km Diamond.
Hayaaa wee!!!!
 
Kwa sababu Wanaume (wengi) Tanzania ni watoto, kama unajua tabia ya mtoto basi utaelewa, mtoto kwa kawaida ni mbinafsi na hajali au hajui kama na wewe una haki pia kama yeye, mfano mtoto atataka kubebwa na usipombeba analia na haijalishi kama hauna muda au hata unampikia chakula ili ale ashibe yeye hajui, anajua na kujali mahitaji yake tu, lkn huyu ni mtoto na watoto wengi wakifikia uanzia miaka 6 wanapata uelewa na anaweza kujua kwamba mama hawezi kunipa chakula kwa sababu labda hakijaiva bado hivyo atasubiri sasa kuna wengine hii stage ya development haitokei, ule utoto hauishi na anakuwa mtu mzima lkn akili yake inabaki ya mtoto, wanaita arrested development, ndio hao mnaolewa nao, hivyo kuweni waangalifu sana, wengi ni wagonjwa wa akili, ...
 
Kwa sababu wanaume wanawekeza sana kwa wanawake. Anamtunza anamgharamia
 
Back
Top Bottom