Kwanini wanaume hatuna makocha wala hatupewi training ().

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
RTEmagicC_00065188-image.jpg.jpg

1. KITCHEN PART HAKUNA.

2. HAKUNA ANAYE JALI MAFUNDISHO KABLA YA NDOA KAMA ULIPEWA UNA BAHATI LAKINI MAJORITY YA WANAUME WANAINGIA KAVUKAVU.

3. TUNAJIFUNZA KAMA KUKU WA KIENYEJI ANAVYO TAFUTA CHAKULA CHAKE MWENYEwe, CHUMA, PUNJE YA MAHINDI, ETC ANAKULA TUU.

JE HILI HALINA ATHARI KWA WANAUME , NA JE HII SIYO SABABU YA WANAUME WENGI KUCHINDWA KUMUDU NDOA ZAO.???
 
Asante kwa kukumbusha jambo hili muhimu maana watu wanafikiri kuwa mwanaume ni sawa na treni ambalo ukiliachia tu breki zake basi litakwenda kwa kufuata reli bila kutoka kwenye mstari,kumbe sio hivyo ni bora wangeweka kwenye katiba jando letu tu ili tumalizie huko.
 
We are naturally endowed with all the necessary capacities!

Nature without knowledge is nothing my bro......, tunahitaji kuelimishwa , kujifunza na kupata ufahamu zaidi juu ya maswala ya mahusiano,mapenzi na ndoa kwa ujumla,
hiyo notion yako ni mbovu na naomba uifute for your wellbeing
 
RTEmagicC_00065188-image.jpg.jpg

1. KITCHEN PART HAKUNA.

2. HAKUNA ANAYE JALI MAFUNDISHO KABLA YA NDOA KAMA ULIPEWA UNA BAHATI LAKINI MAJORITY YA WANAUME WANAINGIA KAVUKAVU.

3. TUNAJIFUNZA KAMA KUKU WA KIENYEJI ANAVYO TAFUTA CHAKULA CHAKE MWENYE, CHUMA, PUNJE YA MAHINDI, ETC ANAKULA TUU.

JE HILI HALINA ATHARI KWA WANAUME , NA JE HII SIYO SABABU YA WANAUME WENGI KUCHINDWA KUMUDU NDOA ZAO.???

umenichekesha saaana Mkuu yaani ha ha haaa,,
Ni hoja nzuuri sana ambayo ama kwa hakika tunapaswa kutupia macho mawili nasi 'tufundwe', u never knw huenda ndoa nyingi huvurugwa kwa kutokufundwa sisi midume
 
Nafikiri itapendeza sana mkifundwa......kuna wengine wakishajua tufanya tendo la ndoa wanafikiri ndo kila kitu............yaani ifunguliwe tu mapema tuwalete shule.:playball:
 
Nature without knowledge is nothing my bro......, tunahitaji kuelimishwa , kujifunza na kupata ufahamu zaidi juu ya maswala ya mahusiano,mapenzi na ndoa kwa ujumla,
hiyo notion yako ni mbovu na naomba uifute for your wellbeing

Naamini yale tunayo yajua ni kidogo sana. Coaching is necessary for men and is not an option.
 
umenichekesha saaana Mkuu yaani ha ha haaa,,
Ni hoja nzuuri sana ambayo ama kwa hakika tunapaswa kutupia macho mawili nasi 'tufundwe', u never knw huenda ndoa nyingi huvurugwa kwa kutokufundwa sisi midume

Nami nimehisi kama tunaonewa. Ndoa nyingi kinababa ndoo chanzo. Au kwa sababu sisi ndo watafutaji??
 
usiwe na mashaka pm.
Nataka ndoa zenu zidumu. Nitatoa hiyo elimu bure kabisa.
Wababa wengi mmekuwa goigoi kila idara na ndio maana wake zenu wanatafuta dogodogo nje.
Wababa mpoooo?

Mashaka bado yapo,yawezekana kweli mbuzi akawafundisha fisi kuhusu mambo yao?
 
Hivi wakati wa hizi sherehe za "jando" huwa wanaume hawapewi shule ya ndoa, mapenzi nk ?
 
Back
Top Bottom