Kwanini wanaume (ambao si mashoga) hawajiuzi kama wanawake wanavyofanya?

donimuya

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
272
55
Natatizika sana na tabia hii ya wanawake kujiuza kingono bar/madangulo, why not men? au wanaume tu ndio hu enjoy.
 
Natatizika sana na tabia hii ya wanawake kujiuza kingono bar/madangulo, why not men? au wanaume tu ndio hu enjoy.

Sijakuelewa mdau, Kinachokukera hapa ni kipi? Biashara ya ukahaba wanayofanya wanawake au unataka na wanaume pia wawe wanajiuza na kisha kununuliwa na wanawake? You mean unatakuwa kuwe na uwiano wa kujiuza kati ya wanawake na wanaume? Au ulimaanisha na mashoga wawe wanajiuza?

By the way, mi nakerwa sana na hii biashara bila kujali inafanywa na mwanamke anayejiuza au mwanaume!
 
Enzi zetu ilikuwa ni nadra sana kwenda kwenye duka la zana la kilimo ukakuta wanauza "jembe" na "mpini"...! Mipini ilikuwa BURE...! Sijui siku hizi lakini...!
 
Sijakuelewa mdau, Kinachokukera hapa ni kipi? Biashara ya ukahaba wanayofanya wanawake au unataka na wanaume pia wawe wanajiuza na kisha kununuliwa na wanawake? You mean unatakuwa kuwe na uwiano wa kujiuza kati ya wanawake na wanaume? Au ulimaanisha na mashoga wawe wanajiuza?

By the way, mi nakerwa sana na hii biashara bila kujali inafanywa na mwanamke anayejiuza au mwanaume!

"Songs of Lawino and Okol" leo hizi mada natamani niwe off kwa muda
 
nilikuwa najiuliza nini hasa sababu ya hawa kujiuza hadharani, na wanaume hununua tena kwa gharama. km kweli wot huenjoy
 
wanaume str8 hujiuza kwa mashugamami, wanafanya mazoezi ili wawe fit wakati wa 6x6. nenda club ujionee
 
biashara ni makubaliano ya watu wawili hivo sion point yako apa
mwanaume ananunua kwani hao mamanzi wanajinunua wenyewe au ni gani?
au unataka wanaume waanza kununuliwa na mamanzi sasa eti,,? kwendelea mbali
 
Back
Top Bottom