Natatizika sana na tabia hii ya wanawake kujiuza kingono bar/madangulo, why not men? au wanaume tu ndio hu enjoy.
Sijakuelewa mdau, Kinachokukera hapa ni kipi? Biashara ya ukahaba wanayofanya wanawake au unataka na wanaume pia wawe wanajiuza na kisha kununuliwa na wanawake? You mean unatakuwa kuwe na uwiano wa kujiuza kati ya wanawake na wanaume? Au ulimaanisha na mashoga wawe wanajiuza?
By the way, mi nakerwa sana na hii biashara bila kujali inafanywa na mwanamke anayejiuza au mwanaume!
anachouliza huyu jamaa ni kwamba kwa nini wasiuze wanaume wakanunua wanawake ?Mwanamke anauza, anaenunua nani?
Mwanamke anauza, anaenunua nani?
Natatizika sana na tabia hii ya wanawake kujiuza kingono bar/madangulo, why not men? au wanaume tu ndio hu enjoy.
Kwa hiyo napata picha kuwa only men are enjoyin sex.