Kwanini Wanasiasa wanatunyonya kiasi hiki?

Nsam

Senior Member
Oct 25, 2018
188
250
Ukiangalia mshahara wa mbunge kwa mwezi ni mshahara wa mwalimu mmoja atakayefanya kazi kwa miaka mitatu mfululizo na asile ndo afike mshahara wa mwezi wa Mbunge

Wao wanakula kodi zetu

Wao wanaendesha magari ya gharama

Wao wanawekewa mafuta

Wao wanakula posho kubwa sana

Lakin hawaishi kusema tujiajir vijana

Wao wanatula ila sisi tujiajiri

Polisi anayemtetea huyo mwanasiasa anakula hela ndogo labla haifik robo ya mshahara wake w mwezi

Hawa watu wapungziwe mishahara

Tushee national cake
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,906
2,000
10201215.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom