S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,615
- 32,719
Sielewi hata ila inasemekana hivi vituo vikiwa vimefunguka vyote unakua kama Mungu katikati ya wanadamuNa mtu akiambiwa amefungwa ina maana vifungo ndio hivyo apo 🤔🤔🤔
Mzungu kafanyia utafiti kila kitu kwenye dunia hii aisee na ameweka ktk maandishi dooh ngojea nikachukue dozi yangu ya astra zeneca nisilete ubishi kwa huyu kiumbe aisee