Kwanini wanasayansi wakubwa na wavumbuzi wa mambo katika historia ya dunia wengi wao hawakuwahi kuwa na wapenzi?

Ukishaonja ladha ya mapenzi kamwe huwezi kufikiria kwa kiwango kikubwa.Mapenzi ni sawa na speed governor kwenye akili ya binadamu.
 
mm sio mjinga, na afrika hakuna wajinga kama unavyofikil kwanza kinachotukwamisha ni hiki
....neo colonialism, hil ndio jambo baya sana ambalo linakwamisha juhud za afrika sabb ya ukolon, ukolon haujaisha afrika na auwez kuisha sabb ya hawa mabwana kunufaika na rasilimal zetu, mfan hata apa tz kunamadini ya uranium, ujiuliz kwann serkal haichimbi?? usisingizie watahalamu hakuna, au kwann iliwekewa vikwazo na mikataba ya kuizuia kuchimba?? irihal tunajua matumiz yake ni makubwa kwa uzalishaji wa umeme ambao ungesaidia ktk matumiz ya viwanda? jibu ni hao mabwana mnao waabudu hawatak muendelee kujitegemea.
...poor leadership, hapa akuna haja yakueleza maana mnajua
.....pupet leaders
......colonial education, huu ndi upumbv ambao hata wew umekushika akil yako mpka kufkia hatua ya kutotambua mchang wa waafrika na kuwakumbatia ao mashetan weupe,.nishaeleza kuwa hakuna jipya chini ya jua kila wafanyalo hao mabwana lilisha fanywa na mwafrika tangu enz na enz ambapo hao hawakujua hata kuvaa chup, bali tulwafundisha sis, ustaharabu wote umeanzia hapaaa.
........poor gvnt suport, hapa naongelea serkal zetu zmekuwa nzito sana kutambua vipaj vya wananch na kuwasaidia, mfano kuna raia weng sana wamegundua mambo makubwa na ambayo hao wazungu wenu hawajawai yagundua, awa waafrika wamefanya tena bila kugusa izo elimu zao, kuna watz weng tu wamegundua siraha za moto, lkn uliza wako wapi?? kwann wafunguliwe mashitaka kwa kuvumbua kitu cha kuilinda nchi? kama wafanyavyo hao wajiitao developed countries?, mm mwenyew nishawai tengeneza pampu ya kuvuta maji ya kisima cha zaid ya futi11 nikiwa mdogo sana and no one care about that unafikil nimeishia wapi.?, kuna meeng sana yanaishia njian sabb serkal zetu hazisapot raia wake
....religions, hizi nazo ni sabbu zngne znapelekea watu kulaza akili
....
nasemaje kwa akil chafu kama zako, afrika ni ngum kuendelea, maana utumwa wa akil bado unakuteaa kwa kujiona inferior pia ukazan kila mtu ni inferior kama wew, hakuna ilo watu tulikwisha amka kitaambo hayo mapambiao yakuwapamba awo mabeberu bakien nayo nyie msiokuwa na elimu out of the box...
afrika kudumaa hiv sio kwa kupenda kuna watu nyuma ya pazia wana control remote kwa manufaa yao wao, kijana hujui bado, kunywa maji ukalale, mambo ya afrika hayahitaji watu wenye akil ndogo na utumwa wa akili kuyapambanua maan wenzako tupo nje ya box tyr
Umeandika ugoro mtupu.ukishakua na akili,akili zako kubwa zitajieleza zenyewe bila kusubiri sapot ya serikali au kutoa visingizio.Kuna vumbuzi watu waliacha tu maandishi baada ya hapo ni historia.mwenzako anaongelea watu kua na akili kubwa za kuvumbua vitu na mambo makubwa yasiyokuwepo duniani ili yawepo wewe unazungumzia kucopy vya wengine alafu unajiona unaakili.Chuki zako kwa binadamu wengine waliokwisha fanya mapinduzi ya fikra zao na leo wameibadilisha dunia kua hivi ilivyo hakutaweza kukusaidia chochote zaidi sana utaendelea kutumia vitu hivi hivi vilivyovumbuliwa na wazungu uku ukijifanya huwapendi.
 
Katika hili la kuoa au kujihusisha na ngono ndiko kuliko tufikisha kwenye matatizo haya tuliyo nayo duniani leo.

Je, wajua mwanaume mtu mzima ambaye hajawaji kujihusisha na mapenzi, kupiga punyeto au kutoa shahawa zake kwa njia yoyote anayo nguvu ya kucontral mazingira?

Hii itabaki kuwa lulu isiyofikiwa kwa sababu jambo hili litaendelea kuwa gumu kwa wanaume karibia wote isipokuwa baadhi ya vichaa ambao faida ya kutokutoa mbegu zao kwa njia yoyote hawaijui bado.
Kanisa katoliki kuwa na msimamo wa mapadre wao na masista wao kutokuoa au kuolewa hawakuianza bahati mbaya! Hii kama wangefanikiwa, ilikuwa iwe mbinu ya kutawala chochote kilicho hai na kisicho hai sema tu ni kwa vile tamaa ya mwanadamu haizuiliki, hivyo hata walipozuiwa kuoa na kuolewa walipata njia mbadala ya kujichua au kuchepuka kwa kificho.

Root chakra ambayo ni kituo cha kwanza cha kiroho kinachohusika na mambo ya ngono ndicho mlango wa kwanza wa mwanadamu kufunguka au kufungwa zaidi na zaidi endapo kitatumika vibaya au vizuri... Ukiweza kucontral mlango huu wa kwanza, milango mingine itafunguka bila shida na kwa haraka bila kutaabika,... Hivyo kupelekea mwanadamu kuwa Mungu kamili hapa duniani.

Hivyo wale watu ambao hawajawahi kujihusisha na ngono ya aina yoyote kuna hazina kubwa kwao ambayo ni miujiza.

Ukweli ni kwamba, ngono ya aina yoyote hata ile ya kuota hadi kupelekea kujichafua sio nzuri!. Hilo ndilo gereza letu mpaka kufa.

Tafadhali katika hili sitaki maswali
Upo sahihi kwa asilimia zote....
 
Ifuatayo ni orodha ya wanasayansi & watu wengine mashujaa duniani ambao hawakuwahi kuwa hata na girlfriend or boyfriend.
Isaac Newton.
Nikola Tesla.
Jeremy Bentham.
Ludwig Wittgenstein
Jean Paul Satre.
Emile Cioran
Michel Foucalt
Leornado Da Vinci.
Antonio Vivald
Jean le Rond d'Alembert
Anaxagras
Democritus
Heraclitus.
Plato
Diogenes of Sinope
Epicurus
Plotinus
Nikolas Corpernicus
Desderius Erasmus
Rene' Descrartes
Kila mtu mtu hapo juu ni maarufu katika historia ya dunia kutokana na kile alichokifanya!
Swali langu kubwa nalotaka kushare Ideas na reasons na wanajf ni "kwanini wengi wa wanasayansi wakubwa maarufu hawakuwahi kujihusisha na masuala ya mapenzi
Hao jamaa walikua busy sana na masuala ya kufanya tafiti mbalimbali kiasi kwamba hawakua na muda wa kuanzisha familia. Mfano "Newton" alishawahi kwenda bank akasahau jina lake, sasa unaweza ukaona hapo kama mtu yuko busy hadi jina lake tu analisahau "how about family?"
 
kwan mleta mada hadi leo hujawai kuamini kuoa si jambo zuri! Ni plan B kwa wasioweza kujizuia na nyege mshindo! naona hujamwongeza Jesus. hujamwongeza St Paul aliyepigilia msumari kuhusu kuoa kuwa kwa wale tu wasio na uvumilivu! yan wanyegekaji ovyo! wadhaifu!
 
Umeandika ugoro mtupu.ukishakua na akili,akili zako kubwa zitajieleza zenyewe bila kusubiri sapot ya serikali au kutoa visingizio.Kuna vumbuzi watu waliacha tu maandishi baada ya hapo ni historia.mwenzako anaongelea watu kua na akili kubwa za kuvumbua vitu na mambo makubwa yasiyokuwepo duniani ili yawepo wewe unazungumzia kucopy vya wengine alafu unajiona unaakili.Chuki zako kwa binadamu wengine waliokwisha fanya mapinduzi ya fikra zao na leo wameibadilisha dunia kua hivi ilivyo hakutaweza kukusaidia chochote zaidi sana utaendelea kutumia vitu hivi hivi vilivyovumbuliwa na wazungu uku ukijifanya huwapendi.
naona bado akil zako hazfany kazii,,umekazania kuwasifia hawo mabwana zako bla kufikir mn kipo nyuma ya oazia,, kwa afrika hata ufanye jambo gan kubwa km serkal ikienda kinyume nawew huwez toboa, simply kuna mwanasayans mwafrika aligundua dawa ya kutibu ukimwi ambao umewatesa weng na madactar wa kila aina, lkn chaajabu serkal ya nchi yake ikashindwa kumsapoti, akaja kuuwawa na wahuni wa kizungu na hakuna alielalamika zaid ya kuzid kuuzika ushahid na kuarbu kila jema alilofanya,. sasa kwa stahili hyo unazan tutasokga mbele???, oky kuna wanasayans toka afrika waliogundua hizo sayar 9 na mfumo mzima wa jua kioind ambacho hakuna technology yoyote kubwa, unazan waliwezaje?? acha shobo zakipumbav ww utumwa wa akili unakutesa kubal tu shobo znakutesaaa
IMG-20210612-WA0007.jpg
 
Ndo maana nimeacha kutandika watu mkuyenge ili niwe mwana zayazi hebu fikiria vijana wanakwenda kufanya kazi huko International Space Station for six moths ndo wanarudi sasa mpenzi gani atakae kubaliana na hii hali? Sasa umkute kijana wa Kingoni au kizigua umwambie uende huko juu for six months atakwambia ooh nimeoa juzi nitamwacha na nani mke wangu labda niende nae kumbe hajui kule juu hakuna gravitational force hivyo mkuuyenge hausimami kule
Mkuu wewe kweli sio Mwana sayansi sio kwa uvumbuzi huo😅😅 eti kwamba uko juu eti nani asimami!??
 
naona bado akil zako hazfany kazii,,umekazania kuwasifia hawo mabwana zako bla kufikir mn kipo nyuma ya oazia,, kwa afrika hata ufanye jambo gan kubwa km serkal ikienda kinyume nawew huwez toboa, simply kuna mwanasayans mwafrika aligundua dawa ya kutibu ukimwi ambao umewatesa weng na madactar wa kila aina, lkn chaajabu serkal ya nchi yake ikashindwa kumsapoti, akaja kuuwawa na wahuni wa kizungu na hakuna alielalamika zaid ya kuzid kuuzika ushahid na kuarbu kila jema alilofanya,. sasa kwa stahili hyo unazan tutasokga mbele???, oky kuna wanasayans toka afrika waliogundua hizo sayar 9 na mfumo mzima wa jua kioind ambacho hakuna technology yoyote kubwa, unazan waliwezaje?? acha shobo zakipumbav ww utumwa wa akili unakutesa kubal tu shobo znakutesaaaView attachment 1818835
unapoongelea watu wakubwa waliotenda mkubwa huwez waongelea wazee wa kukop hawo, lazma udil na waliozivumbua, sio hao waliokopi,, akil chafu tu na wavivu wa kufikir ndyo upenda kuchukulia powa mambo ya kale, ambayo ndyo msingi wa ustaharabu wote hapa dunuan, akili ndogo kama zako unahitaji dactar wa akili akupe fundisho fupi il kukutoa vifungo vyako
FB_IMG_16228195019781695.jpg
 
naona bado akil zako hazfany kazii,,umekazania kuwasifia hawo mabwana zako bla kufikir mn kipo nyuma ya oazia,, kwa afrika hata ufanye jambo gan kubwa km serkal ikienda kinyume nawew huwez toboa, simply kuna mwanasayans mwafrika aligundua dawa ya kutibu ukimwi ambao umewatesa weng na madactar wa kila aina, lkn chaajabu serkal ya nchi yake ikashindwa kumsapoti, akaja kuuwawa na wahuni wa kizungu na hakuna alielalamika zaid ya kuzid kuuzika ushahid na kuarbu kila jema alilofanya,. sasa kwa stahili hyo unazan tutasokga mbele???, oky kuna wanasayans toka afrika waliogundua hizo sayar 9 na mfumo mzima wa jua kioind ambacho hakuna technology yoyote kubwa, unazan waliwezaje?? acha shobo zakipumbav ww utumwa wa akili unakutesa kubal tu shobo znakutesaaaView attachment 1818835
Wewe jamaa naona Facebook patakufaa zaidi sio hapa kapost vichekesho uko sio kutukana wenzako bila hoja yoyote ya msingi.
 
mm sio mjinga, na afrika hakuna wajinga kama unavyofikil kwanza kinachotukwamisha ni hiki
....neo colonialism, hil ndio jambo baya sana ambalo linakwamisha juhud za afrika sabb ya ukolon, ukolon haujaisha afrika na auwez kuisha sabb ya hawa mabwana kunufaika na rasilimal zetu, mfan hata apa tz kunamadini ya uranium, ujiuliz kwann serkal haichimbi?? usisingizie watahalamu hakuna, au kwann iliwekewa vikwazo na mikataba ya kuizuia kuchimba?? irihal tunajua matumiz yake ni makubwa kwa uzalishaji wa umeme ambao ungesaidia ktk matumiz ya viwanda? jibu ni hao mabwana mnao waabudu hawatak muendelee kujitegemea.
...poor leadership, hapa akuna haja yakueleza maana mnajua
.....pupet leaders
......colonial education, huu ndi upumbv ambao hata wew umekushika akil yako mpka kufkia hatua ya kutotambua mchang wa waafrika na kuwakumbatia ao mashetan weupe,.nishaeleza kuwa hakuna jipya chini ya jua kila wafanyalo hao mabwana lilisha fanywa na mwafrika tangu enz na enz ambapo hao hawakujua hata kuvaa chup, bali tulwafundisha sis, ustaharabu wote umeanzia hapaaa.
........poor gvnt suport, hapa naongelea serkal zetu zmekuwa nzito sana kutambua vipaj vya wananch na kuwasaidia, mfano kuna raia weng sana wamegundua mambo makubwa na ambayo hao wazungu wenu hawajawai yagundua, awa waafrika wamefanya tena bila kugusa izo elimu zao, kuna watz weng tu wamegundua siraha za moto, lkn uliza wako wapi?? kwann wafunguliwe mashitaka kwa kuvumbua kitu cha kuilinda nchi? kama wafanyavyo hao wajiitao developed countries?, mm mwenyew nishawai tengeneza pampu ya kuvuta maji ya kisima cha zaid ya futi11 nikiwa mdogo sana and no one care about that unafikil nimeishia wapi.?, kuna meeng sana yanaishia njian sabb serkal zetu hazisapot raia wake
....religions, hizi nazo ni sabbu zngne znapelekea watu kulaza akili
....
nasemaje kwa akil chafu kama zako, afrika ni ngum kuendelea, maana utumwa wa akil bado unakuteaa kwa kujiona inferior pia ukazan kila mtu ni inferior kama wew, hakuna ilo watu tulikwisha amka kitaambo hayo mapambiao yakuwapamba awo mabeberu bakien nayo nyie msiokuwa na elimu out of the box...
afrika kudumaa hiv sio kwa kupenda kuna watu nyuma ya pazia wana control remote kwa manufaa yao wao, kijana hujui bado, kunywa maji ukalale, mambo ya afrika hayahitaji watu wenye akil ndogo na utumwa wa akili kuyapambanua maan wenzako tupo nje ya box tyr
Kukaa kimya sio ujinga
 
Katika hili la kuoa au kujihusisha na ngono ndiko kuliko tufikisha kwenye matatizo haya tuliyo nayo duniani leo.

Je, wajua mwanaume mtu mzima ambaye hajawaji kujihusisha na mapenzi, kupiga punyeto au kutoa shahawa zake kwa njia yoyote anayo nguvu ya kucontral mazingira?

Hii itabaki kuwa lulu isiyofikiwa kwa sababu jambo hili litaendelea kuwa gumu kwa wanaume karibia wote isipokuwa baadhi ya vichaa ambao faida ya kutokutoa mbegu zao kwa njia yoyote hawaijui bado.
Kanisa katoliki kuwa na msimamo wa mapadre wao na masista wao kutokuoa au kuolewa hawakuianza bahati mbaya! Hii kama wangefanikiwa, ilikuwa iwe mbinu ya kutawala chochote kilicho hai na kisicho hai sema tu ni kwa vile tamaa ya mwanadamu haizuiliki, hivyo hata walipozuiwa kuoa na kuolewa walipata njia mbadala ya kujichua au kuchepuka kwa kificho.

Root chakra ambayo ni kituo cha kwanza cha kiroho kinachohusika na mambo ya ngono ndicho mlango wa kwanza wa mwanadamu kufunguka au kufungwa zaidi na zaidi endapo kitatumika vibaya au vizuri... Ukiweza kucontral mlango huu wa kwanza, milango mingine itafunguka bila shida na kwa haraka bila kutaabika,... Hivyo kupelekea mwanadamu kuwa Mungu kamili hapa duniani.

Hivyo wale watu ambao hawajawahi kujihusisha na ngono ya aina yoyote kuna hazina kubwa kwao ambayo ni miujiza.

Ukweli ni kwamba, ngono ya aina yoyote hata ile ya kuota hadi kupelekea kujichafua sio nzuri!. Hilo ndilo gereza letu mpaka kufa.

Tafadhali katika hili sitaki maswali
Nimejifunza kitu hapa
 
Ifuatayo ni orodha ya wanasayansi & watu wengine mashujaa duniani ambao hawakuwahi kuwa hata na girlfriend or boyfriend.
Isaac Newton.
Nikola Tesla.
Jeremy Bentham.
Ludwig Wittgenstein
Jean Paul Satre.
Emile Cioran
Michel Foucalt
Leornado Da Vinci.
Antonio Vivald
Jean le Rond d'Alembert
Anaxagras
Democritus
Heraclitus.
Plato
Diogenes of Sinope
Epicurus
Plotinus
Nikolas Corpernicus
Desderius Erasmus
Rene' Descrartes
Kila mtu mtu hapo juu ni maarufu katika historia ya dunia kutokana na kile alichokifanya!
Swali langu kubwa nalotaka kushare Ideas na reasons na wanajf ni "kwanini wengi wa wanasayansi wakubwa maarufu hawakuwahi kujihusisha na masuala ya mapenzi
Na wewe epuka mahusiano ili uwe mugunduzi!
 
Na ukiangalia hapo kwenye list hakuna hata mmoja kutoka Africa, simply mababu zetu walikuwa wanaletewa zawadi za shanga na wakoloni kutoka ng'ambo kumbe Ni njia ya kuwatoa kwenye reli...
Robo tatu ya hao.walisomea Misri ya kale ya waafrica. Walihamishia Ulaya uvumbuzi wetu wa misri na kufuta kabisa kumbukumbu zetu.

Baada ya kutufitini na kutuua wakatufukuza Africa kaskazini kuelekea kusini ya africa.ili tufe lkn wapi!!

Mpaka leo tukiinuka tu wanakata vichwa kupitia mgaidi km...
Al shaabab.
Boko halam nk.
Na sasa Msumbiji.
Fikiria hkn tajiri yeyote africa hii. Au

kiwanda cha kuzalisha siraha.
mabomu.
hela. africa ,
,za kuwasapoti hao magaidi lkn yanakula
yana vaa.
yana safiri na kuleta vurugu...

Sasa.africa utagundua saa ngapi?? Km unakimbia kimbia hovyo??? Na wanajua tuna akili mingi sana.

Super power countries zote Duniani zipo na nguvu leo!! ajili ya watumwa weusi.waliozijenga.

Wakituacha africa miezi sita tu bila kutugusa haloo!! Ni balaa!!Tuta ajili mpaka nyau tutamlipa mshahara!!
Na tutawapa misaada.maradufu tatizo wanaona sisi ni hatari kwao
 
Back
Top Bottom