Kwanini wanasayansi wakubwa na wavumbuzi wa mambo katika historia ya dunia wengi wao hawakuwahi kuwa na wapenzi?

Ifike tu mda waafrika tukubali kuwa tuko nyuma sana na tulikuwa nyuma, kwasababu hata hivyo bado kuna wajinga wengi ikiwemo wewe, mbali na kuwa ni karne ya 21 just imagine hadi leo hatuna uwezo wa kutengeneza vitu vya maana ata iyo cm unayotumia ni ya mzungu, sasa hao unaosema wanasayansi wa africa walifanya nini?
Mchangiaji alikuwa na maana nzuri tu sijui mimi ndio sijamuelewa au laaa

Nilivomwelewa kamjibu mtu aliesema kwenye list hiyo hakuna mwafrika.

Ukiangalia kiuhalisia bara la Afrika liko hivi kwa sababu ni mkakati wa ngozi nyeupe

Kwamba hao aliowaweka ni wanamchango mkubwa kwa hawawa leo japo ni wa kitambo saana.

Kuna mtu mmoja aliwahi kunidokezea kitu kimoja kwamba

Katika bala ambalo wazungu wanaliokopa na halipaswi watu wake kuwa huru ni Afrika kwani wanafahamu kabisaa uwezo wa nguvu na akili ya mwafrika ulivyo ndio maana kuna juhudi kubwa saana za kuendelea kumshkia akili mwafrika.
Kwa mujibu wake kuna mbinu nyingi saana zinatumika ili kumnyima mwafrika uhuru wa kifikra
Mfano wa hizo ni:-
1. CHofu
Kuna siri nyingi katika hofu, ndio maana zile kona ambazo watu wake wanaanza kujitambua hujazwa hofu kwa namna yoyote ile. Kukiwa na hofu hakuna matumizi ya akili tena

2. Unyonge
Kuna kampeni nyiingi saana kumwaminisha kuwa mwafrika ni mnyoonge ili tuu ajione si chochote na asifanye juhudi kwa kuamini kuwa hawezi chochote

3. Elimu
Tumenyimwa uhuru wa elimu ambayo inaendana na sisi na mazingira yetu ili tusijejikwamua. Ndio maana msomi mzuri mwenye elimu wa Afrika anakuwa kabobea kwa kila namna kuwa mzungu kiakili na mwafrika kwa ngozi tuu

4. Mikopo
Hapa ndio janga la Afrika. Hatukuni vichwa ili kutatua matatizo japo hata kwa kuumia kama muungo mmoja au miwili ili tuu kufanya mapinduzi ya kifikra.
Hili haliwezekani kamwe kwa sababu tumewekewa njia ya mkato ya mikopo

5. Mifumo ya uongozi
Waafrika tunaishi hatujui kesho kuna nini na tunataka nini.
Hasa hasa hizi siasa tusizo zielewa zipo ili tuu kutuondolea utulivu wa akili na matumizi yake. Hii sio kwa bahati mbaya la hasha wameliweka kimkakati kabisaaaa ili tuu kutuvuruga.
Ndio utaona tunavyoishi. Mataifa mengi barani Afrika wanainchi na vionozi wengi hawajui wanataka nini kwa kesho na kesho yao inaamliwa na mtu mmoja
Ndio kilichoshangiliwa leo kesho kinatukanwa,

6. Imani
Wamefanikiwa saana katika imani kwani wanaamini katika imani hakuna matumixi ya akili na inatoa mipaka halisi ya akili hasa za ki Afrika kwani ni mkakati wa muda mlefu.
Mwafrika kuiunda tuu hata ka silaha ka kuua watu wawili kwa mpigo aseee utakelembeshwa mpaka kizazi chako hakitasahau. Lakini ukianzisha dhehebu la kuchoma watu angalau mamia kila mwaka wala hakuna atakaye kuuliza.


Na mengine meengi mengi saana
Fuatilia zana ya kwanza ya chuma ilitoka wapi
Usafiru wa kwanza huko misri
Ujenzi mapiramidi
Ujenzi wa nyumba ya kwanza

Hapo kale miaka hiyo ujue Afrika ilikuwa ndio bara lenye nguvu

Ndio maana kuna ushahidi usiosemwa kwamba haya tunayofanyiwa yawezekana ni visasi au karma
Afrika ukumbuke mpaka israeli lilikuwa koloni la misri mpaka waisraeli walikuwa watumwa wa misri.
 
Back
Top Bottom