Kwanini wanasayansi wakubwa na wavumbuzi wa mambo katika historia ya dunia wengi wao hawakuwahi kuwa na wapenzi?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
852
2,037
Ifuatayo ni orodha ya wanasayansi & watu wengine mashujaa duniani ambao hawakuwahi kuwa hata na girlfriend or boyfriend.
Isaac Newton.
Nikola Tesla.
Jeremy Bentham.
Ludwig Wittgenstein
Jean Paul Satre.
Emile Cioran
Michel Foucalt
Leornado Da Vinci.
Antonio Vivald
Jean le Rond d'Alembert
Anaxagras
Democritus
Heraclitus.
Plato
Diogenes of Sinope
Epicurus
Plotinus
Nikolas Corpernicus
Desderius Erasmus
Rene' Descrartes
Kila mtu mtu hapo juu ni maarufu katika historia ya dunia kutokana na kile alichokifanya!
Swali langu kubwa nalotaka kushare Ideas na reasons na wanajf ni "kwanini wengi wa wanasayansi wakubwa maarufu hawakuwahi kujihusisha na masuala ya mapenzi
 
Na ukiangalia hapo kwenye list hakuna hata mmoja kutoka Africa, simply mababu zetu walikuwa wanaletewa zawadi za shanga na wakoloni kutoka ng'ambo kumbe Ni njia ya kuwatoa kwenye reli...
 
Michel Foucault alikua na mwenza
Daniel Defert (born 10 September 1937) is a French sociologist and HIV/AIDS activist. Partner to the late Michel Foucault, Defert co-founded France's first AIDS advocacy group, AIDES, following Foucault's death from complications related to the disease. Defert is the heir to Foucault's estate. , heading 3, Heading
 
Ifuatayo ni orodha ya wanasayansi & watu wengine mashujaa duniani ambao hawakuwahi kuwa hata na girlfriend or boyfriend.
Isaac Newton.
Nikola Tesla.
Jeremy Bentham.
Ludwig Wittgenstein
Jean Paul Satre.
Emile Cioran
Michel Foucalt
Leornado Da Vinci.
Antonio Vivald
Jean le Rond d'Alembert
Anaxagras
Democritus
Heraclitus.
Plato
Diogenes of Sinope
Epicurus
Plotinus
Nikolas Corpernicus
Desderius Erasmus
Rene' Descrartes
Kila mtu mtu hapo juu ni maarufu katika historia ya dunia kutokana na kile alichokifanya!
Swali langu kubwa nalotaka kushare Ideas na reasons na wanajf ni "kwanini wengi wa wanasayansi wakubwa maarufu hawakuwahi kujihusisha na masuala ya mapenzi
Hapa nimekumbuka ile Movie ya nguli Kanumba kwa jina MOSES...namna alivyokuwa anatumia nukuu za wanafilisofia.....sehem flan alimwambie mwezie (mwanaume)“ AKILI YA MWANAUME HUFANYA KAZ VZUR SANA PALE INAPOKUWA HAINA MWANAMKE NDANI YAKE (Haifikiriii mwanamke”

Ss ktk mada hii.....mwandishi, hili linaweza kuwa sehem ya Jib.........asante
 
Ndo maana nimeacha kutandika watu mkuyenge ili niwe mwana zayazi hebu fikiria vijana wanakwenda kufanya kazi huko International Space Station for six moths ndo wanarudi sasa mpenzi gani atakae kubaliana na hii hali? Sasa umkute kijana wa Kingoni au kizigua umwambie uende huko juu for six months atakwambia ooh nimeoa juzi nitamwacha na nani mke wangu labda niende nae kumbe hajui kule juu hakuna gravitational force hivyo mkuuyenge hausimami kule
 
Ifuatayo ni orodha ya wanasayansi & watu wengine mashujaa duniani ambao hawakuwahi kuwa hata na girlfriend or boyfriend.
Isaac Newton.
Nikola Tesla.
Jeremy Bentham.
Ludwig Wittgenstein
Jean Paul Satre.
Emile Cioran
Michel Foucalt
Leornado Da Vinci.
Antonio Vivald
Jean le Rond d'Alembert
Anaxagras
Democritus
Heraclitus.
Plato
Diogenes of Sinope
Epicurus
Plotinus
Nikolas Corpernicus
Desderius Erasmus
Rene' Descrartes
Kila mtu mtu hapo juu ni maarufu katika historia ya dunia kutokana na kile alichokifanya!
Swali langu kubwa nalotaka kushare Ideas na reasons na wanajf ni "kwanini wengi wa wanasayansi wakubwa maarufu hawakuwahi kujihusisha na masuala ya mapenzi
Hii sio kwa wanasayansi tu bali watu wengi walioibadili dunia kifikra hawakuwahi kuwa na wapenzi eg. Jesus Christ na baadhi ya mitume. Tafiti ziko wazi kuwa ukiwa na mwenza au mtu wa kufanya ngono mara kwa mara akili inadumaa,mfano rahisi kwa hapa Tanzania na mazingira yetu utakuta wanawake wazuri asilimia kubwa ushawishika kufanya mapenzi mara kwa mara ivyo sio wazuri kimasomo na carrier zao ni utata sana,ila wanawake wabaya hawana wa kuwashawishi na ndio wazuri sana darasani na huishia kuwa na mafanikio kazini. Ngono ya mara kwa mara hupunguza umri wa kuishi,hudumaza akili,afya kudhorota na ata kifo,wasiofanya ngono uishi vizuri sana na wakifa uacha alama za kudumu
 
Na ukiangalia hapo kwenye list hakuna hata mmoja kutoka Africa, simply mababu zetu walikuwa wanaletewa zawadi za shanga na wakoloni kutoka ng'ambo kumbe Ni njia ya kuwatoa kwenye reli...
Awo mabwege wote bla afrika sjui mngewajulia wapi,,,kazana kusoma elimu out of box utayajua mengi nyuma ya pazia,,hakuna wanasayans wakubwa kama wale waliowahi kuwako afrika, maana hawo ndyo waliyagundua yote mnayodanganywa na awo ngoz nyeupe...endeleen kuwashobokea mabwana zenu
Screenshot_20201209-184557.jpg
 
Awo mabwege wote bla afrika sjui mngewajulia wapi,,,kazana kusoma elimu out of box utayajua mengi nyuma ya pazia,,hakuna wanasayans wakubwa kama wale waliowahi kuwako afrika, maana hawo ndyo waliyagundua yote mnayodanganywa na awo ngoz nyeupe...endeleen kuwashobokea mabwana zenuView attachment 1816269
Matusi ya Nini rafiki ?

Yaani tokea dada yako akuite mjini umsaidie kazi za tigo pesa, Basi umekuwa huambiliki,

na hv shemeji amekununulia smart phone unajiona mjuaji wakati hapa JF una miaka miwili tu
 
Awo mabwege wote bla afrika sjui mngewajulia wapi,,,kazana kusoma elimu out of box utayajua mengi nyuma ya pazia,,hakuna wanasayans wakubwa kama wale waliowahi kuwako afrika, maana hawo ndyo waliyagundua yote mnayodanganywa na awo ngoz nyeupe...endeleen kuwashobokea mabwana zenuView attachment 1816269
Ifike tu mda waafrika tukubali kuwa tuko nyuma sana na tulikuwa nyuma, kwasababu hata hivyo bado kuna wajinga wengi ikiwemo wewe, mbali na kuwa ni karne ya 21 just imagine hadi leo hatuna uwezo wa kutengeneza vitu vya maana ata iyo cm unayotumia ni ya mzungu, sasa hao unaosema wanasayansi wa africa walifanya nini?
 
Back
Top Bottom