Kwanini wanaowapiga viongozi wa juu wa serikali wanakuwa na kichaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanaowapiga viongozi wa juu wa serikali wanakuwa na kichaa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 17, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  Tarehe kumi mwezi wa tatu mwaka 2009 rais mstaafu ali hassan mwinyi alipigwa kofi akiwa anahutubia baraza la maulid.
  Aliyempiga akakamatwa na kufunguliwa mashtaka, baadaye ikaja kugundulika kuwa huyo aliyemzaba mheshimiwa kibao alikuwa na matatizo ya akili na akahamishiwa mirembe.
  Wiki hii waziri mkuu wa italia kapigwa na sanamu ya kanisa na mtu ambaye pia ana matatizo ya akili,.
  Je hawa viongozi wa juu wanawaudhi nini watu wenye matatizo ya akili? Au mwanzo unakuwa na akili timamu kabisa, ukimpiga tu mheshimiwa akili zinavurugika hapohapo?
  Tuliangalieni swala hili kwa kina.
   
Loading...