Napata tabu sana kuelewa hawa wagombea wa CCM ambao karibia wote wakishindwa wanataka kurudia kuhesabu au wanakataa matokeo
tunajifunza nini kutoka CCM? kwamba wao huwa hawashindi kihalali?
Au wengi wao walishinda primaries kwa mtindo huo?
Ukweli ni kwamba CCM bila kujua madhara ya watu wao kugomea matokeo, wanatuonyesha jinsi wasivyokua waadilifu na wezi wakubwa wa kura... wanatia kinyaaWakihesabu upya, Kura za CCM zinakuwa zimeongezeka kwa vile zinazaliana. Kama vile Mahanga angefanikiwa kuingiza yale mabunda ya kura alizokamatwa nazo angesema tuhesabu upya, ungekuta ameshinda kwa kishindo 80% kama kawaida ya maajigambo ya CCM!!!! Kule wanakokuwa wameshinda, hakuna kuchelewesha matookeo wala kuhesabu upya. Tafakari