Kwanini Wanaomkana Mungu husisitiza ya kuwa Mwenyezi Mungu ni matokeo ya fikra za Mwanadamu?

Mimi siangalii ni nani aliyesema, mimi naangalia ukweli tu, hata kama mkristo ataonyesha ukweli mimi nitaupokea tu, hao Mashia wameonyesha ukweli tena kutoka ndani ya Qur'an kitabu cha Allah, je niwapinge?!!!--- nikiwapinga hapo mimi nitakuwa mwehu.
Acha kuficha wewe mimi mwenyewe nataka kusilimu kuwa shia kama unaogopa ogopa utanifanya nihisi kuwa shia ni sawa nakuwa shoga hapa bongo inabidi ujifiche fiche.

Anyways hiyo aya Haijasema kuwa Allah aliitunga Quran..limeeleza tu kuwa imetoka kwa Allah.
"or do they say he has forged it?Nay,It is the truth from the Lord"
" wanasema hiyo pete umeitengeneza?,No ni urembo kutoka kwangu"

Sasa hapa hii statement inacomfirm vitu viwili
1. hiyo pete siyo yako wala hujaitengeneza
2.Pete imetoka kwangu.

Lakini haisemi chochote kuhusu mimi; haisemi kama hiyo pete nimeitengeneza au nimeinunua au nimeiazima ndiyo nikakupa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Umemaliza, Citizen B na ajifunze.
wewe mzee usikimbie hapa.Achana na uyo.
Maana yake nini kuangalia huko bakka(sijui ndo wapi) inamaana Huko ndo Mungu yupo?
imani inamhusu anayeamini ila sisi tunaofikiria tunamake 'sense' ya vitu...kwa imani ukiambiwa lamba mavi au kunywa mkojo wa ngamia utalamba na kunywa lakini kwa Kufikiria utauliza what's the logic behind it/point of it?
Kwa imani Ukiambiwa Busu hilo jiwe likusamehe dhambi utafanya lakini kwa kufikiria utajiuliza hili jiwe lina akili mpaka lisamehe dhambi zangu?

Sasa turudi ishu yetu ya Where is Allah
maana mida ya usiku ile mida ya Wanga nasikia huyo Mungu huwa anashuka karibu kusikilza maombi maana akiwa mbingu ya saba hasikii. inamaana kabla hajashuka hapo mbingu ya karibu hakuwepo.
 
Aya ya rejea inasema hivi:-

Tilkal kitabi laa rayba fiihi min rabbil alamiin, yaani: Hichi ni kitabu kisicho na shaka ndani yake kimetoka kwa mola wa walimwengu. (32:2).

Hiyo ni aya inayoonyesha kwamba Mola wa walimwengu (Allah) ndiye Author (originator) wa Qur'an.

Ukitaka Qur'an iende jinsi unavyotaka wewe basi tutakesha, juu ya yote Qur'an ni maneno ya Allah naye ameyaleta (alimfunulia Mtume saw) kwa namna alivyopanga Yeye mwenyewe Allah.
 
Aya ya rejea inasema hivi:-

Tilkal kitabi laa rayba fiihi min rabbil alamiin, yaani: Hichi ni kitabu kisicho na shaka ndini yake kimetoka kwa mola wa walimwengu. (32:2).

Hiyo ni aya inayoonyesha kwamba Mola wa walimwengu (Allah) ndiye Author (originator) wa Qur'an.

Ukitaka Qur'an iende jinsi unavyotaka wewe basi tutakesha,
hiyo Aya inaonesha kitabu kimetoka kwa Allah wala haioneshi kama allah amekitunga au kukiopi mahala...wewe ndo unataka Quran iende unavyotaka

ukiambiwa hili ni shati zawadi kutoka kwa mama yako...Haimaanishi mama yako amelishona,amelinunua au amelitaga..
in short hiyo statement haielezei unachojaribu wewe kuongezea.
Haisemi Allah ndiye Author.
(alimfunulia Mtume saw) kwa namna alivyopanga Yeye mwenyewe Allah.
Hapa umefeli braza Allah wala muhammad hawakuipanga Quran hiyo ni kazi ya watu kina Umar na kina Zayd
 
wewe mzee usikimbie hapa.Achana na uyo.
Maana yake nini kuangalia huko bakka(sijui ndo wapi) inamaana Huko ndo Mungu yupo?
imani inamhusu anayeamini ila sisi tunaofikiria tunamake 'sense' ya vitu...kwa imani ukiambiwa lamba mavi au kunywa mkojo wa ngamia utalamba na kunywa lakini kwa Kufikiria utauliza what's the logic behind it/point of it?
Kwa imani Ukiambiwa Busu hilo jiwe likusamehe dhambi utafanya lakini kwa kufikiria utajiuliza hili jiwe lina akili mpaka lisamehe dhambi zangu?

Sasa turudi ishu yetu ya Where is Allah
maana mida ya usiku ile mida ya Wanga nasikia huyo Mungu huwa anashuka karibu kusikilza maombi maana akiwa mbingu ya saba hasikii. inamaana kabla hajashuka hapo mbingu ya karibu hakuwepo.

Yesu alifundisha kwa mifano, labda nikupe mfano mmoja ili akili yako iganduke (unfreezed).

Wakristo wengi kabla ya kula huonyesha ishara ya msalaba kifuani; (kwa jina la baba, la mwana na la roho mtakatifu).

Ukisoma katika (Luka na matendo 27:35), Yesu alipoanza kula mkate alitoa shukrani tu na kuumega mkate----"

Swali: hiyo sala ya Baba, mwana na roho mmeipata wapi??
Screenshot_20201213-013252.png
 
View attachment 1648461

Labda hili swali ungeuliza wakristo.esp wakatoliki.....
Haya jibu maswali yangu
 
hiyo Aya inaonesha kitabu kimetoka kwa Allah wala haioneshi kama allah amekitunga au kukiopi mahala...wewe ndo unataka Quran iende unavyotaka

ukiambiwa hili ni shati zawadi kutoka kwa mama yako...Haimaanishi mama yako amelishona,amelinunua au amelitaga..
in short hiyo statement haielezei unachojaribu wewe kuongezea.
Haisemi Allah ndiye Author.Hapa umefeli braza Allah wala muhammad hawakuipanga Quran hiyo ni kazi ya watu kina Umar na kina Zayd

Neno la kiarabu linalokutatiza ni من (min), kiswahili ni lugha changa sana ukilinganisha na Kiarabu (mama wa lugha zote).

Min, ina maana ya from pia originate from, hivyo maneno; من رب العلمين (min rabbi 'alamin) unawaeza kuyatafsiri hivi; originate from Lord of the worlds (worlds kwa maana ya walimwengu).

Dini yahitaji kusoma sana pia kumchamungu sana na kumuomba muongozo na msaada. Dini sio kiburi na majivuno.
 
Labda hili swali ungeuliza wakristo.esp wakatoliki.....
Haya jibu maswali yangu

Sasa kwakuwa ni nduguzo kiimani hebu nenda kawaulize kwa niaba yangu na ukipata jibu tutafaidika mimi na wewe, isitoshe ni bora uondoe boriti jichoni kwa nduguyo (mkatoliki) kuliko kuondoa kibanzi kutoka jichoni kwa asiye nduguyo.

Inakupasa kwanza ku deal na hao wakatoliki kabla haujaja kwa Waisilamu.
 
Neno la kiarabu linalokutatiza ni من (min), kiswahili ni lugha changa sana ukilinganisha na Kiarabu (mama wa lugha zote).

Min, ina maana ya from pia originate from, hivyo maneno; من رب العلمين (min rabbi 'alamin) unawaeza kuyatafsiri hivi; originate from Lord of the worlds (worlds kwa maana ya walimwengu).

Dini yahitaji kusoma sana pia kumchamungu sana na kumuomba muongozo na msaada. Dini sio kiburi na majivuno.
Hapana mkuu hiyo min ni simply from usianze kujitungia Quran yako.
Tafsir zote za Quran zimesema From na waarabu ndo wameziandika, sasa wewe mdanganyika wa kwa mtogole unataka kusema walitakiwa waweke originate from....Acha undezi
 
Sasa kwakuwa ni nduguzo kiimani hebu nenda kawaulize kwa niaba yangu na ukipata jibu tutafaidika mimi na wewe, isitoshe ni bora uondoe boriti jichoni kwa nduguyo (mkatoliki) kuliko kuondoa kibanzi kutoka jichoni kwa asiye nduguyo.

Inakupasa kwanza ku deal na hao wakatoliki kabla haujaja kwa Waisilamu.

Mimi nina ndugu wa kiislam na kikatoliki pia,siku ukitokea mjadala ntawauliza usihofu...lakini sasahivi sio relevant na haukwepi chochote.
Yani hapa unafanya fallacies mbili Red herring fallacy na Tu quoque fallacy
"Sawa,Nimekunya barabarani lakini mbona hata jana jirani yako nayeye alikunya?"
Haya rudi, kujibu hoja baada ya kuruka ruka
 
Muulize kwanza sababu ya huyo jirani yako kunya ndipo upate majibu yatakayokusaidia.

Fimbo ya mbali haiui nyoka.
 
Daah ad ignoramus argumentum kabisa.
Hata akiwa na sababu nzuri haimaanishi wewe unasababu nzuri maana nyie ni watu wawili tofauti.Na wala haihusiani na mada kabisa sasa utaniuliza nikawaulize na wazoroastra kwanini wanaangalia kibla cha moto.
Hapa mada ni false prophet Muhammad na Mungu wake .sasa acha uoga hapa tupo watu wazima
Hivi dini yako inakufundisha kutotumia ubongo?
Why hauna Argument za kisomi?
 
Hapana mkuu hiyo min ni simply from usianze kujitungia Quran yako.
Tafsir zote za Quran zimesema From na waarabu ndo wameziandika, sasa wewe mdanganyika wa kwa mtogole unataka kusema walitakiwa waweke originate from....Acha undezi

Wewe unajua kiarabu hata kidogo???

Neno "min" lilotumika katika hiyo aya maana yake kwa kiingereza ni "originate from----", yaani; kuanzia kutoka kwa-----, na hata ukichukua maana ya neno from kwa kiingereza maana yake ni hiyo niliyoieleza, hata ukijibaraguza vipi bado Allah ndiye originator wa Qur'an.

Angalia maana ya neno "from" unalolishikilia kama ndio ngao yako.
Screenshot_20201213-093242.png
 
Daah ad ignoramus argumentum kabisa.
Hata akiwa na sababu nzuri haimaanishi wewe unasababu nzuri maana nyie ni watu wawili tofauti.Na wala haihusiani na mada kabisa sasa utaniuliza nikawaulize na wazoroastra kwanini wanaangalia kibla cha moto.
Hapa mada ni false prophet Muhammad na Mungu wake .sasa acha uoga hapa tupo watu wazima
Hivi dini yako inakufundisha kutotumia ubongo?
Why hauna Argument za kisomi?

Charity starts at home walonga bazungu.

Wewe mwanao ni mwizi na mtoto wa jirani ni mwizi, badala ya kumuonya mwanao kwanza unaenda kumuonya kwanza mtoto wa jirani!!!🤣🤣, huko ndio kutumia akili unakoongelea???!!

Hao Zoroasters sio nduguzo katika Imani, anza na nduguzo kwanza ndipo uje kwetu.

Yesu alisema; Ondoa kwanza boriti jichoni mwako ndipo uweze kuona vyema na hapo utaweza kuondoa kibanzi jichoni kwa mwenzako, au Yesu naye humkubali??!!
 
Charity starts at home walonga bazungu.

Wewe mwanao ni mwizi na mtoto wa jirani ni mwizi, badala ya kumuonya mwanao kwanza unaenda kumuonya kwanza mtoto wa jirani!!!, huko ndio kutumia akili unakoongelea???!!

Hao Zoroasters sio nduguzo katika Imani, anza na nduguzo kwanza ndipo uje kwetu.

Yesu alisema; Ondoa kwanza boriti jichoni mwako ndipo uweze kuona vyema na hapo utaweza kuondoa kibanzi jichoni kwa mwenzako, au Yesu naye humkubali??!!
Mkuu labda uniambie wewe imani yangu ni ipi..Na ndugu zangu ni wapi(inaonekana unajua)
Maana mimi ni mu Alkebulan
Haya turudi kwenye mada...
 
Wewe unajua kiarabu hata kidogo???

Neno "min" lilotumika katika hiyo aya maana yake kwa kiingereza ni "originate from----", yaani; kuanzia kutoka kwa-----, na hata ukichukua maana ya neno from kwa kiingereza maana yake ni hiyo niliyoieleza, hata ukijibaraguza vipi bado Allah ndiye originator wa Qur'an.

Angalia maana ya neno "from" unalolishikilia kama ndio ngao yako.
View attachment 1648656
A:Where did you get your phone?
B:I got it from a shop in Kariakoo
.
Does it mean the shop in Kariakoo made the phone?
 
Back
Top Bottom