- Thread starter
- #481
Hapati chochote toka kwetu wala, hapungukiwi na chochote usipomuabudu, wala humzidishii chochote ukimuabudu. Bali sisi ndiyo tunamuhitajia.Tukimwabudu yeye anapata faida gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapati chochote toka kwetu wala, hapungukiwi na chochote usipomuabudu, wala humzidishii chochote ukimuabudu. Bali sisi ndiyo tunamuhitajia.Tukimwabudu yeye anapata faida gani?
Tukimwabudu yeye anapata faida gani?
Ukimlipia mwanao ada kwenye shule ya kifahari akawa akienda mtaani anasifia uwepo wako kwenye maisha yake unapata faida gani? Na endapo ukifanya hivyo halafu mtoto asitambue uwepo wako kwenye maisha yake utapoteza nn?Tukimwabudu yeye anapata faida gani?
We tuthibitishe kuwa mungu yuko..... mmebaki kutishia watu na moto wanmilele sijui nn na nn imani ni matokeo ya fikra zisizo na majibu mumeshindwa kutuambia piramidi za misri pale giza zimejingwaje mnaleta ila mnajifanya mwamjua MunguHaya madai huwa nayasikia sana kutoka kwa hawa jamaa.
Sasa nina maswali kwao.
Je kwanini wamefikia hatua ya kudai ya kuwa Mola muumba ni matokeo ya fikra za mwanadamu kutokana na uoga, hofu ya kifo na hofu juu ya kile kisichojulikana ?
Je wanaweza kuthibitisha juu ya madai yao haya ?
O
Wajuzi karibuni mtupe faida.
Poa.We tuthibitishe kuwa mungu yuko..... mmebaki kutishia watu na moto wanmilele sijui nn na nn imani ni matokeo ya fikra zisizo na majibu mumeshindwa kutuambia piramidi za misri pale giza zimejingwaje mnaleta ila mnajifanya mwamjua Mungu
Poa.Ni kitu kinachokaribia ukweli kwamba " Mungu ameumbwa na binadamu"
Upo sawa muraaNaunga mkono. Mungu yupo ila sio huyu tunayemsoma. Kila mmoja ana haki ya kumuabudu Mungu kwa utaratibu atakaoona unafaa. Haya ya kupangiana mpaka siku ni uongo.