Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,234
Waungwana salaam!
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wahamaji kutoka chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha CHADEMA. Wahamaji hawa wengi wao wao wamekuwa wakienda ama CCM au NCCR-Mageuzi.
Kwa Tanzania mojawapo ya vyama vinavyokuwa kwa kasi ni ACT wazalendo lakini cha kushangaza wahamaji wengi kutoka chadema hawataki kwenda kwenye chama hiki hivi karibuni. Kulikoni?