Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Ukibahatika kuwasikiliza wanandoa wengi watakueleza kwamba mwanzo wa uchumba wao na hata mwanzo wa ndoa mambo yalikuwa bumbum. Walikuwa wanalicheza sebene kisawa sawa. Lakini baada ya kuingia kwenye ndoa mmoja au wote wawili hawafurahii tena tendo la ndoa.
Kwa mwanaume inakuwa inama nikulenge, na kwa mwanamke inakuwa nawahi kuandaa mtoto kwenda shule. Mvuto hakuna tena. Mvuto umepotea. Mapenzi yamebaki kama routine tu sio kufurahishana kama ilivyokuwa hapo awali.
Ni wachache sana wanaweza kujua tatizo liko wapi. Wengi wataishia kuchepuka na kutafuta watu wengine wa nje ambao watafurahia tena tendo. Nina mifano mingi.
Mfano mmoja ni mwanamke aliyekuwa analalamika kwamba akikutana na mmewe anakuwa mkavu sana na hafurahii tena tendo anaumia tu. Lakini baada ya kumpa elimu yule mwanamke alijikuta kumbe anweza kumwaga maji kama chemchemu anapofikia kileleni. Maisha yake yamebadilika. Anafuraha tena.
Nini huwa kinatokea mpaka wana ndoa kukupoteza tena mvuto na kukosa hamu ya mapenzi. Jibu liko wazi. Lakini kabla sijakupa jibu najua wewe unayesoma hii post sasa hivi una mchepuko.
Hebu angalia chati za mchepuko wako, kisha zifaninishe na za mkeo. Umeona tofauti. Umeiona tofauti. Umeona tofauti ya maneno unayotumia kwa mchepuko wako. Umeona tofauti ya picha na video mnazotumiana na mchepuko. Umeiona?
Kitu ambacho hukijua ni kwamba ubongo ni kiungo muhimu katika mapenzi. Ubongo ni kiungo muhimu pengine kuzidi viungo vya uzazi vyenyewe. Ubongo ni kiungo cha kwanza kusisimka katika mapenzi. Ubongo ukisisimka ndio maziwa na viungo vingine vinasisimka pia.
Na ubongo hausisimki kwa kuona viungo au mwili pekee. Maneno. Maneno machafu ndio huamsha na kusisimua zaidi ubongo. Maneno mnayoongea kabla au wakati wa tendo ni muhimu sana katika kunogesha mapenzi.
Zamani mlizoea kutumiana maeno machafu ambao ndio mnafanya kwa michepuko yenu, lakini mkiingiwa kwenye ndoa mnakuwa watawa. Hamuambiani tena maneno yale makali makali yenye kuhamsha hisia. Mapenzi yanakosa mvuto. Inakuwa routine tu.
Nafikiri umewahi kusikia mwanamke anamsifia mwanaume kwamba jamani kuna watu wana maneno matamu jamani. Sio kwamba huyo mwanaume aliongea maneno spesho kihivyo bali alitumia maneno machafu ambayo ndio huamsha ubongo.
Nawasihi tena, ndugu zangu huna sababu ya kuchepuka. Mkeo au mmeo unaweza kumfanya mchepuko. Anza leo, rudia yale maneno mliyokuwa mnatumia wakati mkiwa wachumba. Tumia maneno unayotumia kwa mchepuko wako. Utaona mabadiliko. Kwenye mapenzi hakuna utawa.
Be dirty. Utaona mabadiliko. Utafurahia gemu kama zamani. Kama huamini shauri yako, wenzio watamchatisha ujinga mkeo au mmeo utapigiwa.
Nawakilisha kwa unyenyekevu mkuu.
Ni wenu katika kudumisha mahusiano na kupunguza michepuko .