Kwanini wananchi kwenye nchi zilizoathirika na corona hawapigwi ban kuingia nchini?

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,741
5,226
Habari wanangu !

Najiuliza pasipo kua na jibu sahihi kwamba kwanini nchi ambazo raia wake wameathirika kwa kiasi kikubwa na CORONA, hawajapigwa "ban" kuingia nchini mwetu?

Ni kwamba sisi tuna huruma sana, au ni nchi masikini, au tunajali kodi zaidi, au tunajali mahusiano ya kimataifa, au tutapata hasara kubwa au kuna interest gani tunapata pasipo kuangalia afya za wananchi ambacho ndicho kitu muhimu?

Rais Donald Trump watu wanamuona katili ila ndivyo inapaswa iwe hivyo ili kulinda afya za wananchi wake,, nchi za EU zimelalamika kwa hatua aliyochukua bila kuongea na yeyote anaye wakilisha hizo nchi.

Mimi hadi sasa nilitegemea nchi ambazo zimeathirika , tungepiga stop wao kuingia nchini hadi pale mambo yatakapotengemaa kwa kiasi kikubwa.

Ndimi baba yenu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibongo bongo ilo usitegemee kwa sasa subiri adi watu kadhaa wakate moto ndo utaskia wageni kama hao wakipigwa ban



Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatari sana !

Nasikia habari za jana kwamba raia waliongia kutoka ulaya hawana corona, na wamechunguzwa kwa.saa 24
Sasa nashangaa saa 24 kweli? Wakati wenzetu unawekwa karantini kwa siku 14 ndio wakijiridhisha hauna ndio.unaendoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom