Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,779
- 18,747
Huyu mwanamuziki wa Zanzibar anaitwa nani, na ni kwa nini wanamuziki wengi wa kiume Zanzibar wapo hivi?
Wakati ile ni nchi ya maadili sana kuliko kawaida?
Mara nyingi Wazanzibar wamekuwa wakisema watu wa bara ndio hawana maadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ile ni nchi ya maadili sana kuliko kawaida?
Mara nyingi Wazanzibar wamekuwa wakisema watu wa bara ndio hawana maadili
Sent using Jamii Forums mobile app