Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
1,319
Points
2,000

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
1,319 2,000
Huyu mwanamuziki wa Zanzibar anaitwa nani, na ni kwa nini wanamuziki wengi wa kiume Zanzibar wapo hivi?

Wakati ile ni nchi ya maadili sana kuliko kawaida?
Mara nyingi Wazanzibar wamekuwa wakisema watu wa bara ndio hawana maadiliSent using Jamii Forums mobile app
 

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
1,319
Points
2,000

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
1,319 2,000
Sasa watu hawali ugali,hawali mihogo, ndizi, kiti moto mboga, nguvu watatoa wapi??
kwenye tende tambi na kashata??
Hizi vyakula mbona hata Ulaya hawali mkuu, lakini unaona walivyo ngangari...Ujerumani wakicheza na Tanzania, Tanzania analamba hata 12-0

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,391,094
Members 528,353
Posts 34,073,327
Top