Kwanini wanajeshi wanaita kazi za polisi ni za kike?

Mimi nimemaliza Dip.. Ya record management mwaka jana, moja ya ndoto yangu ni kuja kuwa afisa wa Policie, napendaga wale cjui wanaitwa "Fieldforce"wanavyojipambaga cjui munaita MAYOKO.

Bt ninakuwa disappointed, babu yangu yeye ni mjeshi mwenye cheo cha "Staff Sergeant" ananambia policie n kz ya kike.. nikimuuliza kwanini hanambii, Sasa maafande naomba niwekwe wazi hapa coz kwa upande wangu naona polisi ni walinzi na wanajeshi ni walinzi pia sasa cjui ukike upo wapi!!
wapo lege lege sana kama RAIA wanaamua polisi hasimami
 
Wanajiona sana etii!!
Wala wenyewe huwa hawjioni,ila raia kwasababu yakutojua nguvu ya jeshi na mipaka ya kazi zao pamoja na maslahi yao,huwa wanasifu kupitiliza kumbe hamna kitu,ukitaka kuamini ishi nao hao watu,na unatakiwa kuamini kua kuna askari polisi wanapiga balaa,mjeshi chamtoto.
 
Kweli ww ni mpuuzi na babu yako yaani kauli ya babu yako ndo unatuletea hapa au Kwa sababu umelelewa na kukulia Kwa babu ndo kila jambo akuambialo unamuamini na imekuwaje umemshtukia kuliza humu!
 
Huyo babu yako sijui ni darasa la kwanza, Au aliajiriwa Kwa kukimbia......
Mwanajeshi hutoa taarifa polisi Kama kuna tukio, ili taratibu za kipolisi ziendelee.....
Pia Mwanajeshi.. Police wote hawa wanaishia kwa magereza. Ndio maana Mwanajeshi akikamatwa hupelekwa police, kisha magereza...... Kazi za hawa watu watatu hutegemeana..... Hakuna aliye bora hapo!
umeiva mkuu tatzo watu wanasumbuliwa na uelewa mdogo na iman potofu kumbe wale askar wote wana hadhi sawa tofauti ni majukum 2
 
wanajeshi wanaosema hivo unakuta ni class7 failure,
ila mtu mwenye akili yake hawezi kua na zero thinking capacity,
hebu tutumie academic certificate ya babu yako
mambo mengine yataanzia hapo
 
Mimi nimemaliza Dip.. Ya record management mwaka jana, moja ya ndoto yangu ni kuja kuwa afisa wa Policie, napendaga wale cjui wanaitwa "Fieldforce"wanavyojipambaga cjui munaita MAYOKO.

Bt ninakuwa disappointed, babu yangu yeye ni mjeshi mwenye cheo cha "Staff Sergeant" ananambia policie n kz ya kike.. nikimuuliza kwanini hanambii, Sasa maafande naomba niwekwe wazi hapa coz kwa upande wangu naona polisi ni walinzi na wanajeshi ni walinzi pia sasa cjui ukike upo wapi!!
babu yako hajui kitu
 
Mwanajeshi anapendwa na dunia nzima,kuanzia mtoto alieko tumboni,mtoto ambae ameshazaliwa ,mabinti,wanafunzi,wakinamama,wazee ,hata moto ukimuuliza ukiwa mubwa unataka kuwa nani anakwambia mwanajeshi ndio maana mtaa ambao soldier yupo huwa raia tunajihisi salama lakini wenye wake zao huwa na mashaka ni mtazamo wangu nilipokua mdogo askari walikua kozi depo wakiwa katika mbio wanatutupia biscuit na beef Nalipenda hii kazi kuonesha uzalendo wangu lakini umri umeshapita
Kwa ujumla mwanaume unapaswa kufanya kazi yoyote inayokuingizia kipato
big up majeshi yote mliojitoa kututetea hapa duniani
Ulivo wasifia majeshi nikajua utamalizia kuwa wanaoneshaga show nzuri sana pale Uhuru stadium sijui ndo mafunzo yao kutumbuiza? Au polisi wanachukiwa kwasababu kufanya kazi zinazo onekana kwa RAIA. Sababu majesi hao sioni matokeo ya moja kwa moja km vile watu hufa mkuranga na kibiti wao wapo tu.
Wanabeba magogo makavu sijui ndo ukakamavi naonaga makuli hubeba 100kg na kukimbia nayo safi.
Kuna mtaa unaitwa kwa mwanajeshi aliibiwa hadi godoro alipo lala maskini. Kiufupi aliamka Malinda pungufu
 
Mimi nimemaliza Dip.. Ya record management mwaka jana, moja ya ndoto yangu ni kuja kuwa afisa wa Policie, napendaga wale cjui wanaitwa "Fieldforce"wanavyojipambaga cjui munaita MAYOKO.

Bt ninakuwa disappointed, babu yangu yeye ni mjeshi mwenye cheo cha "Staff Sergeant" ananambia policie n kz ya kike.. nikimuuliza kwanini hanambii, Sasa maafande naomba niwekwe wazi hapa coz kwa upande wangu naona polisi ni walinzi na wanajeshi ni walinzi pia sasa cjui ukike upo wapi!!

Mwanajeshi = askari kamili
polisi = raia mkakamavu
 
Muulize babu yako km n mwanajeshi kazi yake hasa n ipi asubuhi mpka jion kwa mwezi mzima? Atakachokwambia muulize kina umuhim gan kwa taifa? Muulize amepigana vita mara ngapi? Muulize ktk kazi zake amekutana na hatari mara ngapi za kuweza kupoteza maisha yake kwa ajili ya taifa? Muulize hiv tofauti na kukaa kambini na kucheza bao n jukumu gan anafanya kwa nchi yake huyo sergeant? Lete majibu tafadhari na wewe tumia diploma yako vizuri
 
Aisee mamula mna kwa kuambiwa ukwel
 
Attachments

  • 1496994617877.jpg
    1496994617877.jpg
    88 KB · Views: 51
wote ni askari wana hadhi sawa tofauti ni majukumu ila uyo babu yako anasumbuliwa na tatzo la iman potofu kuamn kuwa mwanajeashi ni zaid ya polisi kumbe si jambo sahihi
Mkuu mwanajeshi huwezi kumfananisha na konstable hata siku moja wanajeshi ni wazee wa ngwasuma, sehemu ambayo mwanajeshi anafanya operation zake police haendi kama wakihitaji msaada ataitwa askari magereza sio police kwa hiyo babu yake yoko sahihi!
 
ha ha ha ha ha ha ha mkuu mi napita
 
Huyu jamaa ametoa mtazamo wake kwa kutumia uficho ety kaambiwa na babu yake , duniani kote polisi hawapendwi na raia na wanajeshi wanapendwa na raia kwa sababu moja tu, polisi wanahudumia raia moja kwa moja mfano: wanasimamia matumizi ya barabara, wanakamata wahalifu wote, wanatoza faini, wanapeleka watu mahakamn na wanasimamia kesi hadi wanahukumiwa, hata raia akimsingizia mwenzie akaenda polisi atatengeneza uongo na polisi wataanza kushughulikia mwishoe aliesingiziwa lawama anawapa polisi, kwa ujumla wewe, Mimi , ndugu, rafiki, jirani ama jamaa zetu wamekutana na mshikeli wa polisi ama wamesaidiwa na polisi hivyo kuwapenda inahitaji uelewa mkubwa sana ambao raia wengi hawana, sasa mwanajeshi mtakutana wapi ambavyo hata akikuta unaiba anakuacha uendlee?
 
Back
Top Bottom