Kwanini wanajeshi majeruhi wapelekwe Kampala na Kinshasa badala ya Kigali iliyopo karibu zaidi?

Habari za pilika wanajukwaa.

Niende kwenye mada hapo juu. Nimejiuliza kwanini askari wetu waliojeruhiwa kule Congo, takriban askari 44 wamepelekwa Kampala na Kinshasa kimatibabu. Kwanini wasipelekwe Kigali ambayo ipo karibu zaidi ukizingatia walikuwa mashariki mwa Congo.
Kuna vitu unatakiwa kutumia akili tu na sio lazima kuanzisha thread
 
Mleta mada jifunze kuyaangalia mambo na kuamua kuyazungumzia au kutoyazungumzia ukiwa na facts.

Fact moja ni kuwa UN ina contracts na hospital za madaraja isiyokuwa nayo, level 3, 4 na 5. Askari atatibiwa katika hospital moja au nyingine kutoka na aina ya majeraha, occupancy na triagle level. Sio uhusiano kati ya nchi anayotoka majeruhi na hospital ilipo.
 
Rwanda na mbwembwe zote tunazosikia haina hospital za madaraja 3, 4 na 5?
 
Habari za pilika wanajukwaa.

Niende kwenye mada hapo juu. Nimejiuliza kwanini askari wetu waliojeruhiwa kule Congo, takriban askari 44 wamepelekwa Kampala na Kinshasa kimatibabu. Kwanini wasipelekwe Kigali ambayo ipo karibu zaidi ukizingatia walikuwa mashariki mwa Congo.

Wewe ukoje wewe????? aaah
 
Acha unaharibuu!!!!!
 
Rwanda na mbwembwe zote tunazosikia haina hospital za madaraja 3, 4 na 5?
UN wana base zao kwa ajili ya shughuli hizo mojaa ipo Entebbe na na hospitali ya level 4 Kinshasa, na 5 iko SA if I'm not mistaken, na wale ni wanajeshi wa Tz lakini wako chini ya UN(MONUSCO) , kulingana na mkataba wao kila mtu ana majukumu yake si kwa utashi wetu sisi tunavyoona, shukrani!
 
Habari za pilika wanajukwaa.

Niende kwenye mada hapo juu. Nimejiuliza kwanini askari wetu waliojeruhiwa kule Congo, takriban askari 44 wamepelekwa Kampala na Kinshasa kimatibabu. Kwanini wasipelekwe Kigali ambayo ipo karibu zaidi ukizingatia walikuwa mashariki mwa Congo.
MKUU UNAULIZA MAKOFI POLISI?
 
Vijana naona tunakoelekea sasa mtaanza kuhoji hadi kuwa "Kama ukila chakula baadae utajisaidia!?

Any way, I wish a quick recover to all injured heroes!

For the fallen ones, RIP, we loved you though God diceded otherwise.
 
Hapana mkuu, kumbuka Rwanda ni marafiki zetu chanda na Pete hivi sasa na huduma za tiba zimeimarishwa na serikali ya kagame. Kwanini kuwataabisha majeruhi kwenda mbali?
Aisee wewe huwafahamu vizuri rwanda. Just because nchi inauhusiano nao, it doesnt mean ni marafiki. Kuna sabababu nyingi tu, kama unafuatilia mambo ya usalama. Rwanda si nzuri kama unavyodhani.
 
Back
Top Bottom