Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

Ni nchi za kijamaa zinazoogopa wanajeshi eti MTU ana mshahara na halipi nauli wanashindwa na wanafunzi wasio na kazi
 
Hayo makosa yanafanyika idara nyingi tu za serikali. Baadhi ya idara allowance inawekwa pamoja na mshahara,kwa hiyo unajikuta inakatwa kodi. Idara zingine allowance inalipwa peke yake na mshahara. Ni mfumo mbovu wa mishahara nji hii.
Mwisho wa siku Inapotez sifa ya kuitwa allowance au posho kbisaa na kuwa mshahara. Ili jambo linakera sana. Hata mtu kapewa hela ya likizo bado serikLi inataka kodi!!
 
Sheria ya kodi inasema 'pato lolote mtu analopata kutokana na kazi linatakiwa likatwe kodi' kwahiyo hata hizo taasisi za serikali zisizowakata wafanyakazi wao kodi ni kinyume na sheria.
Sasa kama ndio Sheri kwa nini io pesa ya posho ya chakula wenzetu hawakatwi kodi?au wao wana sheria nyingine wanatumia??
 
Utajua wakati wa vita ambapo wakati wa umelala na mkeo au Mume wanajeshi wanakua vitani
Io ndio kazi yao kama mwalimu anavyohangaika na mtoto mtukutu au mbumbumbu!! Analipwa kutokana na majukumu yake na wanajeshi wanalipwa kwa kazi yao. Hawajalazimishwa wale kwenxa jeshini.
 
1. Sio kweli,wanalipa kodi kwenye mishahara yao.
2. Pesa ambayo hawalipi kodi ni pesa ya chakula,hiyo haikatwi kodi. Maana pesa hiyo haijumlishi kwenye mshahara.
3. Uwe unafanya utafiti wa kutosha kabla hujakurupuka kuleta madai yako hapa,bora ungeuliza kama huwa hawalipi kodi.
Kwani watumishi wengine hawahitaji chakula?
 
Wanalipwa posho ya chakula kutokana na kazi yao inayotumia nguvu zaidi, tena sio chakula tu ila ni special diet
Kwani walilazimshwa kujiunga na jeshi si wwmeitafuta chance kwa udi na uvumba tena wengine wanatoa rushwa ili waipate
 
Back
Top Bottom