Kwanini wanafunzi wengi wa TZ wanakuwa wachovu katika masomo ya software engineering?

mkuu OOSE ndio nini??,
hatuiti OOSE, bali ni OOPS (Object Oriented Programming'S), yani mambo ya kutumia objects, classes, methods, inheritance, Abstraction, Polymorphism, Event Handling and Encapsulation.
mambo ya java, .net etc usipime mkuu waTZ tuko dipu balaa sema tunabaniwa hatuwezeshwi wewee, wadosi ndio wanakalia resources zetu zote.

Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya Software Engineering na Programming

OOSE: Object Oriented Software Engineering
 
kuna uwezekano wa hilo ulilolisema, na sababu ziko nyingi. lakini baadhi ni masomo yetu kuwa ya nadharia zaidi (theory), wanafunzi hawapewi fursa ya kucheza na vifaa ya kazi - in this case computer zenye tools za proper pgrogramming. hata wakipewa vifaa vinakuwa vimepitwa na wakati ukilinganisha na nchi za wajanja.


sababu nyingine, ni wanafunzi kusoma kwa minajili ya kutaka kufaulu mitihani, na wakifaulu wanataka ku-graduate wapate ajira nzuri. lakini wachache wanaotaka kuelewa vitu, kisha wakavitumie kufanya shughuli zao wenyewe - hata kama mtu anatoka familia yenye uwezo wa kumpata mtaji wa kibiashara.

mwisho wa yote, wa kulaumiwa na serikali. haina strategy ya kuwafanya watu wafanikiwe baada ya masomo yao. na hili siyo kwa teknolojia peke yake, hata kilimo. tumeanza lini kupiga kelele za kilimo, lakini unaona hata chakula chetu wenyewe kinatushinda.

tunaongozwa na failed leaders, taifa haliwezi kwenda mbele. jamaa wanajitetea kwa waganga wa kienyeji, unategemea nini? tunadanganya tu.
 
Please tu brief tofauti kati programming na software engineering.Yote mbili nilifikiria baba moja mama moja.

Mkuu Programming ni tool ya Software Engineering, kwa maana unaweza ukawa very good programmer lakini usiwe sofware Engineer mzuri.

Softaware engineering is all about conceiving the idea, Collecting requiremnts, design, implementaion, testing and commisioning, Programming inaingia katika phase ya Implementation tu

Na kuna approach mbali mabli za software engineering kama Object Oriented na Structured approaches but inayotumika sana ni OOSE
 
Mkuu all in all kinachotofautisha kati ya mhitimu na mhitimi ni Juhudi, nimesoma na watu and they doing very well in software engineering
 
Back
Top Bottom