Kwanini wanafunzi wengi wa TZ wanakuwa wachovu katika masomo ya software engineering? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanafunzi wengi wa TZ wanakuwa wachovu katika masomo ya software engineering?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ogm12000, Dec 31, 2009.

 1. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Mimekuwa najiuliza kwa nini wanafunzi wengi wa kitanzania ni wachovu ktk masomo ya software engineering? Je ni waalimu hakuna? au inakuwaje?
  Hali hii inajitokeza hasa wanapokwenda nje kufanya master or Phd wengi wanaonyesha uwezo mdogo ktk software courses. Ninayo mifano mingi ya wanafunzi wa kitanzania na kiafrika kwa ujumla hasa wanageria wanakua wachovu sana ktk engineering courses. Wadau tusaidiane ningependa kufahamu tatizo ni nini ktk vyuo vyetu vya kitanzania

  Regards
   
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuwa specific watu wachambue, unazungumzia software engineering au engineering yote?
  Weka statistics humu, inawezekana hao unaowajua ni nduguzo/watu wa karibu nawe na maybe ni wachache, weka zote au walau sample ya maana ili tuone percentage ya walio wachovu katika scholars wote
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Unazungumzia Watanzania au Wanaija? Mbona Nimesoma na Watu Kibao pale FOE na ni Watade tu katika hizo Nyanja? Mambo ya OOSE wanagonga sana tu
   
 4. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  Swali liko too general
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Acheni kumzungusha jamaa bwana. Anachosema kina ukweli bwana.
  Elimu ya chuo pale mkuu ya kudesa tu kwa asilimia kubwa. M2 yuko radhi apasue pepa ili awe na GPA ya kutosha tu.
  In short wa2 wanakrem sana. Tena wanasoma zile engo ambazo pepa ndo itatokea humohumo.
  Ila nakuibia tu kwamba wapo wa2 ambao wako sirias ktk anga ulizotaja. Kuna wanaosoma na wakitaka kuelewa zaidi na wanakua fiti balaa. Bahati mbaya hujakutana na watade hao wachache.
  Walimu wabongo nao wanachangia kuwadumaza wanafunzi. Ufundishaji wao wa kubabaisha sana, wako zaidi too academic kuliko ku-deliva vi2 ambavyo vinaendana na wakati na ni chalenj ktk dunia ya sasa.
  Naklik Reply...
   
 6. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuweza kubobea katika katika fani yeyote ya u-engineer iwe electrical, mechnical, civil ........etc etc ni lazima uwe na msingi mzuri wa somo la HISABATI tangu elimu ya mwanzo. Kwa mjibu wa matokeo ya tangu mitihani ya darasa la saba, kidato cha nne na cha sita wanafunzi wengi wanaogopa HISABATI na hivyo wana feli mitihani yake. Sasa hapo huoni uwezekano wa kuwa na wanafunzi wengi(sio wote) wa fani mbalimbali za engineer walio wachovu???
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  FACTS and FIGURES PLEASE

  Nonsense

  Wanaona mtihani kabla au wanatunga na walimu?

  Contradicting your nonsenses above

  Contradicting your nonsenses above
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu OOSE ndio nini??,
  hatuiti OOSE, bali ni OOPS (Object Oriented Programming'S), yani mambo ya kutumia objects, classes, methods, inheritance, Abstraction, Polymorphism, Event Handling and Encapsulation.
  mambo ya java, .net etc usipime mkuu waTZ tuko dipu balaa sema tunabaniwa hatuwezeshwi wewee, wadosi ndio wanakalia resources zetu zote.
   
 9. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Baba-enock Enock mzima lakini?!
   
 10. T

  Tanzania Senior Member

  #10
  Dec 31, 2009
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nina wasiwasi kama unajua ulichokiandika.
   
 11. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Una maanisha mimi mtoa mada?..Kama unamaanisha mimi let me know ili niweze kukujibu
   
 12. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45

  Ninazungumzia course ambazo zina software (programming) kama vile computer engineering, computer science, electronics and control engineering.
  Bongo hizi course zinafundishwa lakini ktk programming zinafundishwa ktk kiwango cha chini. Watu wakija kufanya masters utakuta hawana knowledge ya basic things.
  Lengo langu nikutaka kujua source ya matatizo haya nini? Na vile vile sijasema kwamba ni wote bali nimesema walio wengi.
  Kuna mtu alikuwa point 3 ya mzumbe form six na kupata scholarship amemaliza Bsc ya electronics na gpa kali 3.5/4 lakini matokeo yake ya course zenye programming language sio mazuri kulingalisha na course zingine yani amestruggle kuzifaulu compared na course nyingine. Huo ni mfano wako wengi sana siwezi kuwataja wote. Statistics ktk suala hilo ni hakuna.
  Ninaowafahamu mimi ni watu wa karibu ofcourse na wengi wao ni wenye division one kali form six. Nadhani unajua kwenye miaka ya 2000 ulikuwa huwezi kuingia dept hizi pale udsm kama huna one ya point tano kushuka. Course za electrical engineering, civil na mechanical hazina wasiwasi sana wabongo wanazimudu vizuri. Inapokuja issue ya programming acha na program kama java, Asp.net, sisco na zinginezo nyingi watu wanazimudu. In short wabongo course au software za networking hawana matatizo nazo ila programming kama high level language c, c++,assembly, pic programming, labview,dspace, microprocessors na matlab.

  In short mimi sio mtu anaeongea bila kuwa na knowledge ya ninavyo ongelea.
  ni graduate wa Bsc ya electrical and Electronics dept na nina Msc ya Systems and Control ni
  nimefanya programming nyingi tu na watu wa mataifa mbalimbali na watu wa africa wameonyesha uwezo mdogo ktk masuala ya programming.

  Watu wengine wa karibu yangu wamefanya course hizi pale mlimani na ata hapa. Wengi wanalalamika kuhusu programming inasumbua.

  NB: Usiongee ili kufurahisha genge kuna ki section cha udaku/utani ambacho kinafaaa kwa mambo hayo..


  Regards
   
 13. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Nimeliweka swali kuwa too general kwa kuwa mifano ya watu ninaowafahamu ni jamaa zangu na marafiki zangu wa karibu na nisingependa kuwatolea mifano humu ndani.

  In short kama kuna mtu amefanya course yenye programming (software) anaweza kunielewa kwa urahisi zaidi nini nilichouliza. Kwa kifupi mifano niliyo nayo ni marafiki zangu zaidi ya watano ambao ni walipata division 1 ya point 3 na 5 pale mzumbe miaka ya 2000. Walipata scholarship na wamefaulu vizuri tu ktk Bsc degree zao za electronics na computer engineering lkn wamelalamika kuwa masomo yenye programming language kama vile microprocessor (8086 family) kwa watu wa computer engineering, 8051 family kwa watu wa electronics, pic16fxx, pic18fxx, c,c++,matlab,dspace na zinginezo nyingi zinasumbua.

  Mifano iko mingi na ndio maana nikataka kujua source ni nini?


  Regards
   
 14. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #14
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Unachoongera ni kweli Kwa kiasi kikubwa
   
 15. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  unachoongea ni kweli na huyo mtu anayekuambia stats n data anataka kuleta ubishi.

  Mimi ninaona ni maswala ya facilities na walimu.
  1. Kozi nyingi za eng zinahitaji computer kwa ajili ya programming. Uni nyingi za ngambo (uk) ukianza first year unapewa laptop ambayo imekuwa loaded na software mbalimbali zinazohitajika. Hii inakusaidia kufanya mazoezi ya mara kwa mara
  2. Walimu time wanayowapa wanafunzi ni kidogo sana, wakati ngambo unaweza ukaenda kwa mwalimu mara kwa mara. Pia walimu wa ngambo wanafundisha vitu latest na wanajitahidi kwenda na wakati all the time
   
 16. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nianze kwa Kuunga hoja kwa 100% ua zaidi na kuwakemea vikali wanao mpinga mtoa hoja!!!
  Hayo uloiyoyasema yana ukweli wa 100%..
  Sababu ni ;
  1)walimu hawatoshi na waliopo hawana ujuzi/uwezo mzuri wa kufundisha masomo hayo ya programming.

  Ukienda Udsm hasa SICT(Schoool of informatics and communication technologies)
  utakuta mwalimu (lecture) mmoja anafundisha wazidi wa wanafunzi 200 kwa kipindi kimoja yaani wameunganishwa Bsc in Electronics,Bsc in Computer and Bsc with Computer na mwalimu huyo huyo pia akafundishe mwaka wa pili na watatu...hii sio sahihi na haiwezi kuwafanya wanafunzi wawe wazuri katika programming..
  Kuna mwaka MU(Mzumbe university)....walikuwa na uhaba wa walimu wa programming na waliamua waende India kuwatafuta ila huko nako walishidwa Bei ya kuwalipa.

  2)vifaa(falicities);
  kwa ninavyofahamu mimi masomo ya programming inahitaji muda na mazoezi mengi sana na yakutosha na si "lecture slides" tuukirudi tena Udsm utakuta Laboratory assignments/practicals haziliwi mkazo kabisa hivyo wanafunzi wanakosa kuwa wazuri katika masomo hayo.

  leo hii ukienda Udsm dept of Electronics haina Lab/maabara hivyo inakuwa ngumu hata kwa wanafunzi hao kufanya mazoezi ya CAD/CAM/MAT LAB..

  3)Vipaumbele vya wanafuzni pia....maana kwa Tanzania tunaamini katika IT industry ni Networking ndo inayolipa sana na ina kazi nyingi na zenye pesa hivyo wanafunzi wengi wanakimbilia kufanya sana masomo ya networking ili kupata hizo ajira za kulipa pesa nyingi.
  ni hayo tu.
   
 17. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamaa anajua alichokiandika ila mimi nina wasi wasi na wewe kama ulielewa au unaelewa hayo jamaa aliyo yandika.
   
 18. T

  Tanzania Senior Member

  #18
  Jan 1, 2010
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaka naomba uwe makini sana unapotoa hoja.
  1. Ulianza na Kwanini wanafunzi wengi wa TZ wanakuwa wachovu katika masomo ya software engineering?

  2. Kwanini nilikujibu hivyo:
  Naomba ukubaliane na mimi kuwa Software Engineering siyo Programming.
  Baadaya hapo ulikuwa specific na kupoint out kuwa issue ni programming? Yes I agree, nina majibu mengi mazuri kwanini hili ni tatizo. Baadhi ya majibu haya mjumbe aliyetangulia amekujibu vizuri tu.
   
 19. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Software engineering is the application of a systematic, disciplined, quantifiable approach to the development, operation, and maintenance of software, and the study of these approaches; that is, the application of engineering to software.[1]
  The term software engineering first appeared in the 1968 NATO Software Engineering Conference and was meant to provoke thought regarding the current "software crisis" at the time.[2][3] Since then, it has continued as a profession and field of study dedicated to creating software that is of higher quality, more affordable, maintainable, and quicker to build. Since the field is still relatively young compared to its sister fields of engineering, there is still much debate around what software engineering actually is, and if it conforms to the classical definition of engineering. It has grown organically out of the limitations of viewing software as just programming.
  Software development, a much used and more generic term, does not necessarily subsume the engineering paradigm. Although it is questionable what impact it has had on actual software development over the last more than 40 years,[4][5] the field's future looks bright according to Money Magazine and Salary.com who rated "software engineering" as the best job in the United States in 2006.[

  Hiyo ni wikipedia wamejaribu kutoa maana ya "Software Engineering"  What is the difference between a programmer and a Software Engineer? Fundamentally there is little difference as both write software. Software Engineers are programmers but it's how they do the job that differs.


  Software Engineering is an approach to developing software that attempts to treat it as a formal process more like traditional engineering than the craft that many programmers believe it is. We talk of crafting an application, refining and polishing it, as if it were a wooden sculpture, not a series of logic instructions. The problem here is that you cannot engineer art. Programming falls somewhere between an art and a science.  Programming - Art or Engineering?

  There has always been considerable debate about the nature of programming. If bridges were designed like software then there would be a lot of ferries operating. You can't have a second go if a bridge fails. That's the argument that the Software Engineering proponents put forward.
   
 20. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ndugu wewe ulisoma/unasoma wapi maana inaonekana ni mgeni kabisa wa elimu ya Bongo?!!!
   
Loading...