Je, walimu sio mahiri? Je, wanafunzi ni vilaza?Je masomo ni magumu? au je mitihani ndiyo migumu?
Mazingira ya ujifunzaji yanaridhisha? Je, kuna vitabu vya kutosha? Mitaala inakidhi viwango? Au ni ili mradi watu wamalize?Uwiano wa walimu na wanafunzi uko sawa?
Je, mfumo unaotumika ni upi? Ni competence based au knowledge based?
Mtaala unafuatwa?ama bora watu wakusanye ada?Ni nani anafuatilia iwapo mtaala unatekelezwa? Kama hakuna, usipotekelezwa nani anawajibika?
Waajiri wanawajali waalimu? Au kwa vile wapo wengi kwenye soko? Je, wanapata mafunzo kazini(CPD)? Au ndio wameshamaliza shule?Maslahi yao yakoje? Je, maslahi yana mchango wowote katika kufaulisha?
Wanaotunga mitihani wanafundisha? Au wanaoipitia ikiwa imetungwa wanaipima kwa umahiri kuona kama inafaa?
Vipi wanafunzi wanatunza notes wanazopewa? Kwa njia gani? Simu, kishikwambi? Au kompyuta mpakato? Au wanaandika kwenye counter book? Kama hivyo vyote hawana, je unatarajia wafaulu?
Au vigezo vya kujiunga viko chini sana? Vikipandishwa, ufaulu utaongezeka? Je, wenye ufaulu mkubwa huwa hawafeli?
Au wanafunzi wanaonewa na walimu?
Kama ni kweli kuna ushahidi wa hili?
Karibuni kwa mchango