Kwanini wanafanikiwa wao tu?

Nasri39

Member
Jul 19, 2021
15
19
✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU?
πŸ’§ MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi uwezo lakin kwa nini saivi wanatuzidi?πŸ˜‡( hapa kichwa kinauma)

✍🏿 Ukimtizama Mo na BAKHERSA wana vichwa kama vyetu na wanafikiria kama sisi ila kwa nini tunakuwa tofauti duniani ?
πŸ™πŸ™ Naomba nijibu maswli yote kama utanipa ruhusa😁😁

✍🏿 Mfano: Mimi na wewe tumenunua simu ya tekno yenye uwezo sawa tuchukulie K7 WOTE.

πŸ€·β€β™‚οΈ Hivi unajua wakati wa matumizi tutatofautiana? Mfnao mm naweza Kutengeneza matangazo kupitia CM ila wewe huwezi japo tuna Cm 1 😁😁😁
Unajua kwa nini wewe huwezi na Mimi naweza?

Jibu ni kwamba Mimi kwenye simu yangu nimeweka PROGRAMU ya kunifanya nitengeneze matangazo ila wew huja weka hiyo programu.

🎀Kama ukiweka programu ya kutengeneza matangazo basi na wewe utaweza.🀝🀝

πŸ–₯️ Haya hivi wajua binadamu ana ubongo na ubongo wake ndo unaratibu kila kitu? Na utambue kitu kama uja uambia ubongo kufanya kitu kitu hiko hakiwez kufanywaaaa!

Mfano : ukiamin kesho mvua ipo lazima utatoa nguo nje na kufanya maandalizi ya kujikinga na mvua kama bati limetoboka lazima utaliziba ilimradi tu usidhurike na mvua.

πŸ‘†πŸ½πŸ‘†πŸ½ Kabla hujaamini na kujiambia kesho mvua ipo ,ulikuwa hauangaiki na hivyo .

Sikiliza vizuri Binadamu woote duniani tuna uwezo sawa kwan tuna ubongo sawa ila tunatofautiana kweny PROGRAMU tunazo ziweke kwenye vichwa vyetu
PROGRAMU zilizomo kichwani mwetu ndo zinatufanya tuonekane tuko tofautiii

🎀 Wew kichwani umeweka programu ya kesho mvua inayesha na Mimi nimeweka programu ya mvua hainyeshi hvi Mimi na wew tutakuwa sawa kweny maandalizi ya kesho?

Mfn wa 2: wewe unaamini au umeweka programu ya kuwa mungu hayupo na Mimi nimeweka programu ya mungu yupo hivi tutakuwa sawa kweli?

😁😁😁 mfano WA 3 Mimi nimeweka programu ya kuwa Kuwa bilionea na wewe umeweka programu ya kuwa masikini hivi tutafanan kweli ?

πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ Kumbeeee‼️ Akina Mo na BAKHERSA wameweka programu za kuwa mabilionea kichwani ndo maana wana kuwa tofauti na sisiπŸ€”πŸ€”

✍🏿 Utofauti wako wewe na Mo ni kwamba wewe kichwani mwako umeweka programu za kuto amini kuwa bilionea, kutojituma,kutobadili marafiki, kutojifunza,kuamini mafanikio ni mipango ya mungu, kuwa tegemezi na kadhalika.

πŸ’§ Unacho kuamin ndo kitakusaidia kama unaamin uislam wako utakusaidi siku ya mwisho basi utakusaidia kama unaatimi ukristo wako utakusaidia basi utakusaidia ndo maana kila kukicha upo Ibadan.

Ukiamini kuwa umasikini si wako unatakiwa kuwa bilionea basi utakuwa bilionea kila kukicha utakuwa waangaika huku na huku kuisaka mia na buku ilimradi uwe bilionea.

🎟️ wengi hatuwi mabilionea kwa sababu hatuamini kuwa mbailiionea hivyo basi uwezo wetu unaishia kufanya kazi kwa levo ya kumiliki laki.Au milioni.

✍🏿 Tafiti zinaonyesha binadamu wa kwanza duniani ametumia uwezo wake kwa 30% make alibakisha 70% ya uwezo wake.

Tanzania anajitahidi kutumia uwezo wake anafikia kuutumia uwezo wake kwa 1% 😁😁😁
πŸ‘†πŸ½πŸ‘†πŸ½πŸ‘†πŸ½ Hii ina maanisha kwamba sisi tuna uwezo mkubwa ila hatutaki kutumia.
πŸ™πŸ™ Ushauri wangu kwako kuanzia sasa hivi weka programu mpya kichwani mwako ,futa programu ulizo nazo .

πŸ§β€β™‚οΈ Programu tulizo nazo ndo jinatugea imani ya uoga, kutojiamin tunaweza,tutojituma, kukatishana tamaa na wengine mengi.

Mo marafki zake hawajaweka programu kama zako.
πŸ”₯πŸ”₯ Badili programu ,weka malengo ya kuwa bilionea hata kama huna mia weka.πŸ‘‡πŸ‘‡ kwa utakacho amini ndo hicho hicho ubaongoa unakifanyia kazi
Ubaongo unapokea maelekezo ya kile unacho kiamini , na mwli unafanya kazi kulingana na ulivyo elekezwa KAMA MAFANIKIO YANGUKUWA NI ELIMU BASI WENYE PHD NDO WANGUKUWA MATAJIRI.
😁😁 hakuna PHD yenye bilioni duniani
 
Mm huwaga nawaambia watu, Hakuna kitu kinaitwa IQ wala siamin na sitokuja kuamn kuwa kuna kitu kinaitwa iq au mtu mwenye akil zaid ya wengine,, kinachotutofautisha ktk maisha na wengine kuitwa wana iq kubwa ama akil kubwa, ni kutokana na Udhubutu+kipaji,, yaan dunian kuna kila aina ya vipawa/vipaji, sasa kwa mtu mweny kipaji cha kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu, atakapo fanya udhubutu wa kusoma na kukalili mashahiri/habari fulan na akapewa test ataonekana yuko vizur ktk kukifanyia kazi kipaj chake(udhubutu) pia kwa wale akili fupi watamuita ana iq kubwa, kumbe si kweli, sas kuna mwingne kipaji chake ni uchoraji, huyu nae akidhubutu kuchora michoro kwa kadri ya uwezo wake, naye ataitwa ana iq kubwa ama akili kubwa,hil jambo si sahihi, ubay mwingine ni pale unaenda mshindanisha huyu mwenye uwezo wa kukumbuka na huyu mwenye uwezo wa kuchora, yaan unawashindanisha watu wawil wenye vipawa tofaut kwa mtiani mmoja ambao unamlenga mmoja wapo mwnye kipawa hicho, sasa kwa hawa ukawapa mtian wa kukumbuka notes/stori fulan, lazma tu yule mwenye kipawa cha kumbukumbu ataonekana ana akil sana ama iq kubwa, kulko huy wa kuchora, the same way kwa wakuchora ukiwekwa mtian wa kuchora atamshinda huyu wa kukalili, kwann kwasabbu mtian umemlenga mmoja tuu, kwa upumbavu huu dunia inaoutumia kupima akili tunachelewa na kupotoka sana, ilitakiwa mtu asemwe ana iq/akil kulingana na kipawa chake kama kuimba,kuchora,kukalili, kujenga, kucheza, kukimbia, kuogelea, kuongea, kuhadithia,

Sasa hata dunian tunatofautian maendeleo sabbu ya vitu , hivi 2 ambavyo ni 1)udhubutu ( 2) kipawa, ..maana yule mwenye kipawa cha kuimba anapothubutu kuimba na kufanikiwa wew mwnye kipawa cha kuhadithia usitake kuiga ama kujarbu kufanikiwa kwa kufanya kitu kisicho chako, maana utapoteza muda bure na hutofanikiwa mpka urudi kwenye uharisia wako....tunaish ktk dunia yenye uongo wa % kubwa sana ambazo tumekalilishwa mafanikio , yanategemea jambo fulan au ufanye kitu fulan, na kwel kwa system walizoweka inakulazm il ufanikiwe lazm uzifuate hizo system, mfano ni shule,vyuo, lugha, na upuuzi mwngne, na kwa wale wanaofikil nje ya sytem huonekana wajinga na wapotoshaj, huku wale wanaokwenda sambamba na system wakifanikiwa, hii sio balance ktk maendeleo, maana kuna watu wanatengwa sana na kuonekana hawana mchango ktk jamii, leo hii akina Michael jackson wanaweza kuonekana mjanja kulko nyerer aliyekomboa maisha ya watu wengi, why sabbu watu watalinganisha mafanikio ya huyo wa kuimba tofaut na huyu wa uongoz, ama kumfananisha leonard de vinchi na Hadija kopa, kwa nafasi yao kila mmoja kafanya makubwa kulngana na kipawa chake na udhubutu wake, unatakiwa kujua kuwa, the more unadhubutu, the more unafanikiwa kupitia kipawa chako, sasa utakapo muita der vinch anaakil kulko hadija kopa hiyo si sahihi maana nae hadja yuko vzr ktk mashahir kumzid huyo mchora picha na mafumbo,....There's nothing called iq...kila mtu anaakili, hakuna asiye na akili,..tuache kufuata mifumo yakipumbavu tulyoletewa na mzungu kutupumbaza na kutujaza ujinga.....
 
Back
Top Bottom