Kwanini wanachuo(kikuu) wa kike wengi wao wana mvuto wa kingono?

donga

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
2,475
4,925
Najiuliza kila siku ninapokua chuo kwanini dada zetu wanamvuto wakimapenzi katika vyuo mbalimbali nchini?

sababu wanajiweka smart.. wanavutia na wewe akili yako imejiweka kuvutiwa nao...

huku mtaani maisha yakishakupiga.. ukaolewa ba mume mtata.. unaanzia wapi kujiweka kichuo chuo
 
Najiuliza kila siku ninapokua chuo kwanini dada zetu wanamvuto wakimapenzi katika vyuo mbalimbali nchini?
Akili yako imekaa kichuochuo!.....huwazi wala huoni nje ya hapo,ukipanua wigo wa akili yako utagundua wanawake wenye mvuto wapo sehemu zote
 
Back
Top Bottom