Kwanini wamiliki wa kiwanda cha Twayford mnaihujumu Serikali ya Rais Magufuli?

Mfanyakazi wa sekta binafsi kudai mkataba sio uvivu, ni kuzuia uvunjwaji wa sheria unaofanywa na mwajiri.

Sheria inataka kila mfanyakazi awe na mkataba wa ajira tena apewe mkataba wakati wa kuajiriwa na sio baada ya kuajiriwa, mwajiri awe na rejesta ya mikataba ya ajira kwa wafanyakazi, na pia aitunze mikataba ya ajira ya wafanyakazi aliowafukuza kazi au waliomaliza muda wa mkataba kwa muda wa miaka 5 toka tarehe ya kukoma kwa ajira zao.

Mkataba wa ajira ni takwa la kisheria, ni lazima.
Hayo yote ul;iyoyaeleza kwa mzungu yanawezekana na yanatekelezekeka lakini kwa mbongo???? ataisoma employment and labour reletions act yote lakini atakachokitekeleza ni strike, leave mbalimbali, kudai mishahara, kudai vyeo, na maslahi mbalimbali lakini kwenye wajibu wa kazi ndio hizo dharura za kukwepakwepa kazi anavizia mwisho wa mwezi ufike
 
Binafsi napenda sana utaratibu wa kulipwa ungekuwa ni wa kamisheni. Mtu alipwe kwa kazi alizofanya, ingefanya wafanyakazi wengi wa sekta zote tu kuwa wachapakazi kuliko hii mazoea ya mshahara mwisho wa mwezi bila kujali umefanya nini.

Sasa tatizo ni kuwa sheria zetu zinataka ujira wa mfanyakazi uwe kwa siku, wiki au mwezi tena kimewekwa na kima cha chini ..yaani uwe unajulikana base yake.

Hii ya kulipana mishahara inafanya wafanyakazi wawe wavivu na wenye jeuri sana. Anaweza 'kumkomesha' mteja kwa kumuweka pending au kutomhudumia, au kumuweka foleni muda mrefu sababu wana ugomvi binafsi nk..ila asingefanya hivyo ikiwa anajua malipo ni kwa kazi anayoifanya (idadi)
 
Back
Top Bottom