Kwanini wamarekani weusi wanapenda kuonesha hela walizonazo?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,190
Nimeangalia video nyingi sana za wasanii na wanamichezo wa marekani katika social network wanapenda sana kujirekodi na kuzirusha hizo video zao wakichezea fedha au kuhesabu je ni ushamba au kujikweza kwamba wanapesa?

Lakini hali ni tofauti kabisa na ngozi nyeupe namaanisha wazungu huwezi kuwaona wakifanya mambo yafanywayo kama hayo na wakina 50 cent au Floyd Myweather huwa najiuliza sana sipati majibu nini shida hasa kwa waafrika wenzetu?

Au wanawatisha wazungu kwamba nao fedha ipo hamna mnyonge?
 
Umefanya utafiti kuhusu ngozi nyeusi
Fanya tena utafiti kuhusu ngozi nyeupe..hao ndio mavi hawafai kwa sifa
 
Kwa kuwa wewe una wafuatilia hao weusi lakini hiyo ni tabia ya wamarekani wote wakipata tu ni anasa kuonyesha wanazo hii ina shabiana sana ata kwenye movie zao
 
Hata huku Afrika , Tanzania in particular ,waafrika tuna invest sana kwenye show off. Tunataka ndugu na jamaa watutambue kwamba tuko vizuri financially hata kama sio kweli.

Ukitaka kuona hilo tembelea instagram. Unaweza ukahisi kwenye hili taifa hakuna watu maskini. Wapo vijana wakike kwa wa kiume ambao wapo radhi wafunge safari kutoka Toangoma kwenda Posta au maeneo ya Morocco kwenda kutafuta location za kupigia picha.

So utaona kwamba black americans wanachofanya ni muendelezo wa tabia za wenzao waliopo Africa.
 
Nimeangalia video nyingi sana za wasanii na wanamichezo wa marekani katika social network wanapenda sana kujirekodi na kuzirusha hizo video zao wakichezea fedha au kuhesabu je ni ushamba au kujikweza kwamba wanapesa?

Lakini hali ni tofauti kabisa na ngozi nyeupe namaanisha wazungu huwezi kuwaona wakifanya mambo yafanywayo kama hayo na wakina 50 cent au Floyd Myweather huwa najiuliza sana sipati majibu nini shida hasa kwa waafrika wenzetu?

Au wanawatisha wazungu kwamba nao fedha ipo hamna mnyonge?
Maskini akipata. Sisi masikini tukipata tunataka sana kuwaringishia watu, ingawa unakuta mtu anavihela kidogo tu. Ni ushamba tu
 
Sijui kwanini wanaume wengi wao wa KiAfrika wanapenda sana wanawake wenye mswambwanda mkubwaaaa?
 
Mkuu, kumbuka usemi wa 'Ukishangaa ya Musa utakutana na ya Firauni' Almasi wa hapa kwetu alishafanya hivyo.
 
Hata huku Afrika , Tanzania in particular ,waafrika tuna invest sana kwenye show off. Tunataka ndugu na jamaa watutambue kwamba tuko vizuri financially hata kama sio kweli.

Ukitaka kuona hilo tembelea instagram. Unaweza ukahisi kwenye hili taifa hakuna watu maskini. Wapo vijana wakike kwa wa kiume ambao wapo radhi wafunge safari kutoka Toangoma kwenda Posta au maeneo ya Morocco kwenda kutafuta location za kupigia picha.

So utaona kwamba black americans wanachofanya ni muendelezo wa tabia za wenzao waliopo Africa.
Kweli mkuu
 
Nimeangalia video nyingi sana za wasanii na wanamichezo wa marekani katika social network wanapenda sana kujirekodi na kuzirusha hizo video zao wakichezea fedha au kuhesabu je ni ushamba au kujikweza kwamba wanapesa?

Lakini hali ni tofauti kabisa na ngozi nyeupe namaanisha wazungu huwezi kuwaona wakifanya mambo yafanywayo kama hayo na wakina 50 cent au Floyd Myweather huwa najiuliza sana sipati majibu nini shida hasa kwa waafrika wenzetu?

Au wanawatisha wazungu kwamba nao fedha ipo hamna mnyonge?
Ngozi nyeusi tuna matatizo ya ulimbukeni, ndo maana tunafilika kiurahisi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom