radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,191
Nimeangalia video nyingi sana za wasanii na wanamichezo wa marekani katika social network wanapenda sana kujirekodi na kuzirusha hizo video zao wakichezea fedha au kuhesabu je ni ushamba au kujikweza kwamba wanapesa?
Lakini hali ni tofauti kabisa na ngozi nyeupe namaanisha wazungu huwezi kuwaona wakifanya mambo yafanywayo kama hayo na wakina 50 cent au Floyd Myweather huwa najiuliza sana sipati majibu nini shida hasa kwa waafrika wenzetu?
Au wanawatisha wazungu kwamba nao fedha ipo hamna mnyonge?