Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,534
Mikoa mingine hasa Morogoro na kwingineko tayari walimu walioajiriwa mwaka Jana wamishapewa barua zao za kuthibitishwa kazini, lakini kwa mkoa wa Mwanza hasa Misungwi walimu bado hawajapewa barua zao za uthibitisho, tatizo ni nini?