Kwanini walimu wa Tanzania wanaonewa sana na hawaki kujitetea?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Walimu wa Tanzania wanapigwa na wakuu wa wilaya, bakora kedekede hasharani. Madaktari hawapigwi, wala watu wa field nyingine.

Walimu wanaonewa na wakopeshaji wa riba a.k.a mikopo ya Maruhani.

Walimu wanaonewa na serikali, wapo kimya tuuu

Walimu wanaonewa na chama Cha walimu, Bado wako kimyaaa.
Nani kawarogeni?

QNET wana akili kuliko walimu wa Tanzania
 
Kunani tena? Wengi wao ni waoga mno, hata kutetea haki zao hawawezi, ni wanyonge mno
 
WAALIMU NI KAMA SIKIO LA KUFA,HAWAJITAMBUI NA HAWAKO TAYARI KUPAMBANIA HAKI YAO.
HAWA NA POLISI MAMA YAO NI MMOJA.
 
Waalimu wanakipiza kwa wanafunzi,waoneni wajinga tu,angalia.
1.mtoto anamaliza la Saba hajui kusoma Wala kuandika vizuri.
2.mtoto anamaliza kidato Cha nne hata kuunganisha sentesi mbili za kiingereza hajui.
Fanyeni,waburuzeni,lakini wao wamegoma moyoni,na hakuna mtu mbaya Kama anaegima moyoni,machoni anakuitikia moyoni kagoma.
Kinachofanyika mashuleni ni kuwakakririsha watoto wafaulu mtihani Basi.
 
Kwa kukuongezea nenda vyuo vikuu,tafuta wanachuo,wanaojua vizuri kusoma na kuandika kiingereza waliotoka Dante kayumba skuli Kama wapo,hakuna,wanaojua ni wale waliotoka shule za Ada kuanzia milioni mbili,jiulize kwa Nini?
Jibu bakia nalo.
 
Wanaogopa kufukuzwa kazi wakiludi mitaani watafanya nini.yaani leo mishahara wapunguze walipwe laki na nusu wana kubali tena Wana lewa na neno mwalimu mitaani watu wakimwita mwalimu flani na huku wanafunzi shikamo mwalimu nikama maaskari wakivaa mgwanda Yao wakipita mitaani raia na watoto wanavyo sema askari,askari wananenepa bila hela ata akimtongoza demu utashangaa Mimi mwalimu unaongea na mkulima atakupa nini
 
Sifa ya kuwa mwalimu Tanzania ni kufeli mtihani. Yaani matokeo yakitokaa tu wanakwambia umefeli ila sio sana utaenda ualimu.
 
Acha upimbi we kenge mnapenda kukariri Sana ,mbona Kuna vilaza kibao wa sekta mbali mbali wanakuja kubostiwa na hao hao walimu mnaowaita wamefeli. Tra ,wajeda ,na kada kibao wanapigishwa pindi na hao hao mnaosema wamefeli.

Nenda chuo kikuuu chochote hapa tz iwe ud ,udom ,sua ,mzumbe kafanye takwimu ukaone Ni akina Nan wanaongoza kwa kuwa wengi, na ukipata Hilo jibu uje hapa utoe huo upuuz kuwa ili uwe mwalimu lazima uwe umefeli.

Watoto wenu wakipata division 1 mnakenua na kufurahi bila kujiuliza wamefauru kwa uwezo wa Nan ? Na Kama walimu wote Ni mafelia kwann msikae na watoto wenu majumbani kwenu mkawafundisha nyie wenye akili?

Ifike mahali muache kudharau walimu kisa tu wao wapo wengi Sana kwa idadi Basi kila mfano Ni walimu ,sijui vilaza sijui hawajitambui hapo hapo unajua kuandika kisa huyo huyo Mwalimu.

Walimu Ni wasomi wa viwango vikub wa na gpa kubwa ,masters za kumwaga had huko primary ,na ndio kada inayoongoza kushikilia vyeo nyet nyeti ,maana had saiz unaongozwa na Mwalimu ,waziri mkuu Mwalimu.

Nitakupa mifano mingapi ya walimu walioshikilia hii nchi?

Kila kada ina watu waoga na wasiojielewa Basi haimanishi Ni wote na muache hii kasumba ya kudharau walimu mara moja .

Na wengi hapa mna Elimu za kuunga unga Sana full kureset mitihan na wasaidiz wenu wakiwa hao hao walimu kinachowasaidia watu hapa Ni hiz I'd fake
 
Walimu wote ni MALOFA. Mazombi yanayotembea kitaa
 
Mkuu umepanick mpaka utawapa watu hofu na mashaka juu ya taaluma yako maana umepoteza kidogo taadhima ungemwambia kwamba Mwalimu hafundishi yale aliyofeli anafundisha kwa weledi na ujuzi wa yale aliyoenda kujifunza chuo mpaka akapata vigezo vya kufundisha watu kuna asilimia kubwa ya wale wanafunz wanaojua sana darasani huwa hawaendi mbali zaid kitaaluma jibu ni jepesi ila nitalitolea ufafanuzi zaidi mtu akihitaji.
 
Ukitaka kujua kwa nn waalim ni wa ajabu, kaa nao uone mwalimu mmoja wapo ambae ni boss wa wenzake anavyonyanyasa waalim wenzake.
Waalim wa TANZAGIZA hii wanapigana vikumbo wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom