Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,355
40,234
Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'.

Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au wanajua kuvumilia sana shida?

1632203941659.jpeg
 
... kuna mentality za kijinga mingoni mwa wanaume wengi wa kitanzania waliofikia levels za bachelors, phd's, etc. Kwanza kuoa mwanamke aliyesoma (graduate, etc.) ni kujitafutia matatizo - dharau, viburi, n.k. Mwanamke aliyesoma akipata kazi (+ elimu aliyonayo) ni jeuri sana; hakuna heshima ndani ya ndoa!

Pili, kuoa mbumbumbu totally wakati wewe angalau umegraduate nayo ni changamoto nyingine - watanionaje? Mke hawezi hata kuchomekea vijimaneno vya Buckingham kwenye sms au maongezi mbele ya wageni? So, uki-balance hayo mawili ndipo hapo walimu wa msingi + manesi (certificates na diplomas) wanapojipatia "bahati" ya kuolewa maana wana-fit mentality za wanaume graduates wa kibongo!

By the way, hao walimu na manesi huwa hawajilengeshi kwa mbumbumbu; mara nyingi kigezo kikuu ni elimu au utajiri. Ikitokea vinginevyo ni nadra sana.
 
Ndio wanawake wanongoza kuvunja ndoa na kzini inje ya ndoa ili mradi tu uwe na pesa mwalimu hau lizi ni hela yako tu nina mifano mingi hai mwalimu sio mke
 
Mahakimu, Majaji na wanasheria asilimia kubwa sana wako Single. Ni bahati mbaya lkn ndiyo ukweli wenyewe. Kama unaye ujue ni timely bomb. Pia wenye vyeo vikubwa serikalini nao pia ni ngumu kukaa nao. Naomba ukipata habari hii ewe mwanaume mwenzangu CHUKUA HATUA
 
Mahakimu, Majaji na wanasheria asilimia kubwa sana wako Single. Ni bahati mbaya lkn ndiyo ukweli wenyewe. Kama unaye ujue ni timely bomb. Pia wenye vyeo vikubwa serikalini nao pia ni ngumu kukaa nao. Naomba ukipata habari hii ewe mwanaume mwenzangu CHUKUA HATUA
Kuna ukweli,inawezekana ni kutokana na mazingira ya kutaka haki sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom