Kwanini Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe pamoja na 'Kukuru Kakara' zao zote Marais wanasita Kuwapandisha vyeo, ila kwa wengine wanapanda fasta?

Enyi Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe na Iringa Richard Kasesela nitafuteni GENTAMYCINE upesi ili niweze 'Kuwabariki' na 'Mkono' wangu wa 'Baraka' ili nanyi msiwe mnasahaulika Kupandishwa 'Vyeo' Serikalini japo huwa 'mnachakarika' sana kwa Msaada wa Makamera ili Juhudi zenu zionekane Ikulu za Magogoni na Chamwino.

Kuna kitu Kimoja tu Kinachowagharimu.
Connection, pambio zao bado hazisikiki
 
Double G anajjpendekeza mno....mnafiki kwa aenzake waneshamjua hata wakubwa .....anapeleka maneno fitna kwa Dasa Ummy yule mswahili nanapenda umbea......
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom