Kwanini Wakuu wa Vyuo Vya Serikali ni Wanasiasa?

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Wakuu Wakuu wa Vyuo vikuu vya Tanzania wengi ni wanasiasa ni kwanini Chama cha Mapinduzi kinafanya hivi!

UDM- Kikwete
Muhimbili- Mwinyi
SUA- Warioba
Moshi Cooperative (Bashite) -Msekwa
Mbeya (MUST)- Mwandosya
OUT- Pinda
Mzumbe- Barnarbas Samatta
UDOM-Mkapa

Mention other
 
Wakuu Wakuu wa Vyuo vikuu vya Tanzania wengi ni wanasiasa ni kwanini Chama cha Mapinduzi kinafanya hivi!

UDM- Kikwete
Muhimbili- Mwinyi
SUA- Warioba
Moshi Cooperative (Bashite) -Msekwa
Mbeya (MUST)- Mwandosya
OUT- Pinda
Mzumbe- Barnarbas Samatta
UDOM-Mkapa

Mention other
Naona kama serikali inasema "nyinyi wastaafu,tunawalipa fedha, kisha mnaweza kuwa mko bored hamna kazi nyingi, basi tufanyieni hii kazi".

By the way nafikiri hawa watu wako ceremonial zaidi.
 
Back
Top Bottom