Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau wa JF
Kwa miaka mingi sana vyombo vya habari vimeripoti mapigano ya watu wa jamii ya wakurya. Mapigano hayo yameacha watu wakijeruhiwa,wakipoteza maisha na kuharibu mali nyingi.
Mapigano haya yanahusisha watu wa kabila moja tu la WAKURYA.Ukiwauliza baadhi yao wanadai tatizo ni ardhi lakini sio kweli pande hizo kiuhalisia hakuna tatizo la ardhi.Aidha kama tatizo ni ardhi kwanini jamii jirani hazipo kwenye mapigano k.m wajaluo,wajita,wasukuma n.kk. Mkoani Kilimanjaro lipo tatizo la ardhi mbona hatusikii mapigano ya aina hiyo baina ya Wachaga?
Kwa wenye ufahamu watujuze kwanini watu hawa wa Kabila Moja tu WAKURYA katika karne hii bado wanaingia katika mapigano wao kwa wao?
Karibuni.