Kwanini Wakristo na Serikali hawataki Kipengele cha Dini kuingizwa ktk Sensa?

Status
Not open for further replies.
Mkuu thread yako ni nzuri

kipengele cha dini kinakuwepo ktk allmost kila sensa ya nchi duniani, Tatizo la wakiristo hawataki watu wajue ukweli kuwa wao ni idadi chache hapa nchini kulingana na waislam, ukweli ukijulikana wanamini kabisa waislam watadai uwiano katika kila sehemu ya utendaji ambao wao wakiristo wamejazana

Chakujiuliza hapa je wataficha ukweli mpaka lini ????? ilihali dunia sasa imebadilika ????

Serikali imekataa takwimu ya wakatoliki na imekataa takwimu iliyofanya na chombo chengine chochote, Je ni Nchi gani hii isiyokuwa na takwimu ?????

Wakae wakijua kuficha ukweli sio kutibu,
 
unaongelea dini hii iliyoanzishwa pale paulo alipotundikwa msalaban na wayahud wakidhani nabii issa(yesu wa ukweli)wakapigwa changa la macho na maana mpaka leo alama ya dini yao ni njia panda yaani hawajui waelekee wapi,huwezi fananisha na dini ya haki ya mwenyezi mungu yenye alama ya nyota na mwezi ikimaanisha dini iliyoumbwa kabla ya mwanaadamu(kumbuka mwenyezi mungu aliumba dunia na vyote vilivyomo kabla ya binaadamu)

Maskini wee. Kweli hujui hata unachokiamini. Unaonesha usivyo na ufahamu na mambo ya dini. Uislamu unaoushobokea una superiority gani juu ya ukristo? Usilete upuuzi humu ukatibua nyongo ya watu bure. Katiba inaruhusu kila mtu kuamini dini aitakayo na si kukashfu dini za wengine.
 
Hivi hawa waislamu nani kawaroga?!!!! Mahakama ya kadhi wanataka waanzishiwe na serikali!!!! Sensa wanataka wafanyiwe na serikali!!! Hadi mitihani wanataka serikali iwasaidie kupass!!!! Huu nao ni uendawazimu mwingine!!
 
Hivi hiyo MOU ikisitishwa halafu makanisa yakaamu kuwatibu waumini wa kikristo tu patakalika?

hata mimi nashangaa. Hawa watu akili zao zimekaa tenge. Wamejazana bugando,kcmc, tumaini,sauti nk aafu wanajidai hawaoni faida za mou. Tatizo wengi wanaoongea wapo temeke,mwananyamala,amana na muhimbili. Hawajui shida za ilembula, ikonda, namtumbo,ifakara ambako hospitali za serikali hazipo. Hizi ni dalili za mtindio wa ubongo wa ukubwani,mtu uliyekawaida huwezi kulinganisha huduma inayomuathiri mtu mmoja na inayoiathiri jamii nzima. Mahakama ya kadhi siyo sawa na shule,hospitali au chuo! Hizo fedha hazitumiki kuendesha makanisa,zinaendesha huduma zinazoathiri watu wote.
 
unaongelea dini hii iliyoanzishwa pale paulo alipotundikwa msalaban na wayahud wakidhani nabii issa(yesu wa ukweli)wakapigwa changa la macho na maana mpaka leo alama ya dini yao ni njia panda yaani hawajui waelekee wapi,huwezi fananisha na dini ya haki ya mwenyezi mungu yenye alama ya nyota na mwezi ikimaanisha dini iliyoumbwa kabla ya mwanaadamu(kumbuka mwenyezi mungu aliumba dunia na vyote vilivyomo kabla ya binaadamu)
BWANA YESU ANAOKOA, KWA NINI MNAUMIZA AKILI HIVI?KWA NINI MNASONONEKA?KWA NINI MNAHANGAIKA NA HII DUNIA? MPE BWANA YESU MAISHA YAKO NA KUHAKIKISHIA HUTA JUTA,roho ya hasira,chuki na mambo mabaya yataondoka nawe utakuwa mwenye furaha muda wote.KARIBU KANISA LOLOTE LILILOKARIBU NAWE LINALOAMINI WOKOVU.
AU TUWASILIANE KWA EMAIL :johnhella2007@yahoo.com hiyo email naitumia hata facebook ukisearch kwa email hiyo utanipata.

Ukimpokea Yesu atakusaidia utaisi maisha ya furaha na amani ,nguvu za shetani hazitakushinda.utakuwa ni mwenye furaha na kubwa zaidi utapata uzima wa milele.usikubali kuendelea kuteseka Yesu anakupenda anajua mateso unayopiti ndio maana leo ikawa nafasi kwako ,yuko tayari kuubeba mzigo unaokutesa.Tuwasiliane nawe ufurahiye Pendo la Yesu katika maisha yako.karibu
 
Support. Daima mvivu ni mlalamishi na akiona mtu kafanikiwa kwa juhudi yake husema kapendelewa. Acha wakalie majungu tu, watavuna uharibifu.

Wakristo ndio wanaongoza kwa uvivu wanasubiri kupewa na serikali, watu wakisema wasipewa bure wanaanza fitna za kijinga iko siku itafika..
 
kwa sababu hii sio nchi ya kidini.
Tanzania ni nchi isiyo na dini wala kabila, go and consults our constitution.
 
Mkuu thread yako ni nzuri

kipengele cha dini kinakuwepo ktk allmost kila sensa ya nchi duniani, Tatizo la wakiristo hawataki watu wajue ukweli kuwa wao ni idadi chache hapa nchini kulingana na waislam, ukweli ukijulikana wanamini kabisa waislam watadai uwiano katika kila sehemu ya utendaji ambao wao wakiristo wamejazana

Chakujiuliza hapa je wataficha ukweli mpaka lini ????? ilihali dunia sasa imebadilika ????

Serikali imekataa takwimu ya wakatoliki na imekataa takwimu iliyofanya na chombo chengine chochote, Je ni Nchi gani hii isiyokuwa na takwimu ?????

Wakae wakijua kuficha ukweli sio kutibu,

Unajua sensa za nchi ngapi kama si kubahatisha tu.
 
Unajua sensa za nchi ngapi kama si kubahatisha tu.

Ndio nyie ?? Fungua Dictionary ya kila nchi unayotaka wewe duniani utaona Dini ni kati ya Profile ya Nchi, baadae unijibu Tanzania kwenye profile ya takwimu ya dini watajaza nini ??? ile takwimu ya kikatoliki ???
 
Hakuna faida ya kipengele cha dini kwenye maendeleo ya taifa letu.
 
Mimi nalitazama suala la dini kuingizwa katika sensa kuwa halina umuhimu kwani mwisho wa siku takwimu itakayopatikana haitakuwa sahii.

Mfano hai iwapo ulisema kigoma inawaislamu 20,000 mwezi wa 5, basi leo hii sio hao tena kwani tulienda kufanya injili kuanzia mwanzo wa mwezi wa 6 na waislamu wastani wa watu 3,000 waliokoka.

Kwa mfano hai hapo juu ni dhahiri hakutakaa kuwe na takwimu sahihi za dini as long as watu wanabadili dini kila siku kwenye mikutano ya injili hadi tanzania yote itakapokuwa kwa Yesu

Safi sanaaa hata sisi tulifanya singida zaidi ya ishirini waislam walisalenda to Jesus
 
Uelewa Mdogo wa waislam wengi umewafanya wajenge chuki ya kijinga na wakristo. Hospitali za Rufaa Kcmc, Bugando ni mali ya CCT na TEC, Hospitali nyingi Teule za wilaya ni mali ya CCT na TEC, zahanati nyingi Tanzania zinamilikiwa na CCT na TEC, Karibu 80% ya shule zote kabla ya Uhuru na Baada ya Uhuru zilimilikiwa na CCT na TEC,Na mpaka sasa CCT na TEC ndo wamiliki wa vyuo vikuu Tanzania, Ukienda Vijijini TEC na CCT wanatoa huduma za maji, umeme,na Ujenzi wa Vyuo na Barabara, Huduma za TEC na CCT zinatolewa bila ubaguzi wa Dini wala Rangi ya mtu, waislam wanatumia sawa na watu wengine wote, Kazi zote hizi zinazotolewa na TEC na CCT zilitakiwa zitolewe na Serikari ya CCM. imeshindwa kuwahudumia watanzania ikaamua kuwapora TEC na CCT ili na ninyi waislam mtumie. Hivi kuna ubaya gani kwa serikali kutoa ruzuku kwa Taasisi hizi zinazo hudumia watanzania wote bila ubaguzi? Haya waislam hawakukatazwa kujenga shule na Hospital ili nao wapate Ruzuku hii, Kinacho nisikitisha waislamu wanatumia huduma hizi bado wanalalamika. kweli bora umfadhili mbwa anaweza akakulinda na si binadamu. toka Mkapa awape majengo ya Tanesco morogoro kiwe chuo kikuu, kimebaki hichohicho na hakuna mipango ya kuongeza kazi kulalamika 2. sasa karibu kila Dhehebu la kikristo lina miliki vyuo vikuu zaidi ya kimoja na waislam wanaotafuta elimu Dunia wanasoma wenye kulalamika hawasomeshi, kweli elimu ya mjinga ni Matusi. Ingekuwa busara waislam wakawashukuru wakristo kwa mchango mkubwa mno wanaotoa kwa umma wawa Tanzania badala yake imekuwa ni chuki hii ni ajabu sana.Na hii sensa Wakristo wanajua umuhimu wake na ndio maana hawawezi kupinga sensa na hata idadi ya wakristo inajulikana kwakua kila jumapili wanahesabiwa. Hakuna mtu makini anaeweza pinga kuhesabiwa. hata wale wanaopinga utasikia wanasababu za kizamani (mila) Na Hata kama sensa itakuwa ni lazima mtu ataje Dini ya ke kabila lake na mengine mengi ya kipuuzi hayawezi kuwafanya wakristo wakatae kuhesabiwa sensa ni mali ya serikali na serikali haina Dini

UTANGULIZI
ikumbukwe kuwa serikali ni baba na mama yetu sote. serikali ilikua (na hadi leo) inamiliki hospitali, zahanati na vituo vya afya. la kushangaza serikali imeamua kudhoofisha vituo vyake vya afya na kuimarisha vya taasisi za kikristo.

KWA NINI IMEFANYA HIVYO
ni kutokana na nguvu pamoja na shinikizo ya makanisa. serikali ina watoto wawili. inamuwezesha mtoto mmoja na kumuambia mwengine kuwa utakua unakula kwa ndugu yako. hii hali itamfanya huyu aendelee kuwa tegemezi. isitoshe, madawa na vifaa vya hospitalini vinasamehewa kodi huku ruzuku ikiongeza kwenye hizo hospitali! kwa hali hii, hatushangai kuona vyuo vikuu vya wakristo vinaongezeka! ni mtoto anaependelewa na baba. huu ndiyo ukweli uliopo.
 
Hakuna atakayechangia topics za kihivi alafu asiipendelee dini yake. Hakuna humu JF.
Mijadala kama hii ni bora ikafutwa soon tu inapoanzishwa.
 
MBONA HII SERIKALI HAITAKI KUSIKILIZA WANANCHI WAKE JAMANI?juzi hapa ndugu zetu waislam walikuwa wanataka kipengele cha dini kiwepo kwenye sensa nashangaa kwa nini serikali isiwasikilize.Mimi ningependekeza kiwepo na kipengele cha kabila la mtu,ili tujue sisi wanyamwezi ni wangapi ,maana mkoa wetu uko nyuma sana na sisi kabla ya uhuru ndio tulikuwa kabila kubwa.
 
Kwetu tunaamini kama hukusoma basi utakuwa mchawi wa maendeleo ya waliosoma, maana kila wakati utatawaliwa na dhiki na kuwa mtu mwenye roho mbaya hasa unapoona maenddeleo ya waliosoma. Dawa pekee ya kupunguza wachawi ni kusomesha
 
Muwalaumu waarabu ambao baada ya kuja walituchukua utumwani. Wakaishia kujenga madrassa. Hivi wewe mtoa uzi ulishawahi enda kwenye hospitali yoyote inayomilikiwa na haya madhehebu ukanyimwa ruhusa sababu ya dini yako? Ulishaenda ktk shule za hao ukanyimwa nafasi sababu ya dini yako? Lakini ajabu katika mashule yenu huwezi kumuona mtoto wa kikiristu anasoma hapo.
Hata pale udsm waislamu waliweka madesa yao msikitini eti wasomee kule ili wasishirikiane na makafir. Wote waliishia kupata gentle man dgree. Wacheni kulalamika fanyeni kazi.
 
unaongelea dini hii iliyoanzishwa pale paulo alipotundikwa msalaban na wayahud wakidhani nabii issa(yesu wa ukweli)wakapigwa changa la macho na maana mpaka leo alama ya dini yao ni njia panda yaani hawajui waelekee wapi,huwezi fananisha na dini ya haki ya mwenyezi mungu yenye alama ya nyota na mwezi ikimaanisha dini iliyoumbwa kabla ya mwanaadamu(kumbuka mwenyezi mungu aliumba dunia na vyote vilivyomo kabla ya binaadamu)

Bora kumfuata PAULO ambaye alikuwa na shahada ya udaktari kuliko kumfuata MOHAMEDI asiyejua hata kuandika jina lake. Na wafuasi wa kila mmoja wao mtawatambua kwa matunda yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom