Kwanini Wakristo na Serikali hawataki Kipengele cha Dini kuingizwa ktk Sensa?

Status
Not open for further replies.
taabu ya elim madrssa inakusumbua hizo shule za wakristu wanasoma waislam wangapi? loyola mfano hamna waislma pale? saint agustine hamna waislam? buganda hamna waislam?kcmc hamna waislam wanasoma? shulle kama st marys, st antony, chuo kama tumaini? nyie waislma mbona hamna shukrani? haya shule zenu zip wakristu wanasoma? chuo mlipewa na mkapa sasa inakufa acheni kudeka hizo hospitali kama kcmc,gugando,ccbrt hamtibiwi waislam? embu soma acha kujidanganya na elimu yako ya madrsaa na fikra za uamsho sijui hali ingekuaje kama wakristu wawe wabaguzi kama nyie u guy have no thanks no mater how much u get?????!!!!!!!!!!!!!!!
 
NAOMBA WAKRISTO WATUMIE MAKANISA NA WAISLAMU WATUMIE MISIKITI KITENDO CHA KWENDA NYUMBA HADI NYUMBA KUULIZA DINI AU JINA LA MTU NI UFINYU WA MAWAZO KWANI MUUMINI HATAFUTWI MITAANI.MUUMINI HUENDA MWENYEWE KWENYE NYUMBA YA IBADA POLENI WANA CCM KUWATUMIA WAISLAMU,NA MUNGU ATAILAANI CCM IANGAMIE MILELE:flame:
 
Utamaduni wanabadili dini kila siku kwenye mikutano ya injili hadi tanzania yote
hashwa baada ya kuona watu wana badili dini wakaamua kuchoma makanisa.
 
Last edited by a moderator:
Ni kwasababu wanapenda amani ili hali waislamu ni watu wa vurugu siku zote. Wana lao jambo kulazimisha kipengele cha dini kiwepo.
 
kwanini wakatae wakati kila kitu kinajionyesha?
Mimi naomba nikujibu kwenye hiyo MoU

Makanisa na taasisi nyingine za dini wamejenga vituo vya afya na elimu kwa pesa zao bila ufadhili serikalini, na kamwe halikuwa lengo lao kupata ufadhili

Lakini zile sehemu ambapo serikali ( ambayo ndiyo yenye wajibu wa kuhudumia watu wote bila mipaka ya dini ) inapokuwa haina au haijaweka kituo cha afya eneo ambalo tayari kanisa limeweka ( na linakidhi viwango maana si zote ), then wanaomba taasisi zifanye kazi hiyo, na serikali kwa kutambua kabisa kwamba haiwezi kuwaomba wafanye kazi hiyo bure, then inabidi watoe subsidy ili hiyo sehemu ipokee watu wote na kuwahudumia kwa bei ya serikali (mfano DDH,)

Kufanya yote hayo lazima wawe na makubaliano ya pande mbili hence MoU

Kuna maswali ?
 
as time goes on dini yetu ya kiislamu itakuwa ni kiashirio cha UJINGA.. Kutokana na kina sheikh Ponda & co.
 
Hii thread ni aina ya vichochezi vya ugomvi maana kila mchangiaji ukiacha yule ambaye kwa kweli hana dini,ataipendelea dini yake.
Juu ya yote kuna jitihada za Chama Tawala kuwatumia Waislamu kujipatia uhalali wa kuendelea kutunyonya na kuwagawa WATANZANIA ili wasijadili mustakabali wa Taifa hili.Yaani hapa tukijizamisha kwenye upuuzi wa kuweka dini idadi ya wake,kabila,nk kwenye SENSA, wao wanalipana pesa kwa kumpitia DOWANS waliyekwisha kusema hawamjui,ama wanaingia Benki Kuu ama wanauza wanyama pori kama hawana akili nzuri.Shauri yenu
 
Wakati wa-tz wachache walianza kudai kwa nguvu uhuru wa tanganyika,asilimia kubwa ya waislamu walijitoa kwenye vuguvugu hilo kwa kigezo kwamba waislamu wengi hawajapata elimu ya kuweza ku-compete na wakristo,kwa hiyo wakataka harakati za kupigania uhuru zisimame kwanza hadi hapo waislamu watakapopata idadi ya wasomi sawa na wakristo. sali langu ni hivi,hoja hii wangewakubalia tungekuwa tumepata uhuru hadi sasa? Lakini pia waislamu wanasahau kuwa baada ya uhuru miaka ya sitini,kulikuwa na shule za madhehebu ya kikristo tu,hasa romani katoliki,baba wa taifa mwl nyerere akaamua kuzitaifisha ili na waislamu wasome,wao wakaendelea na madrasa,wameshtuka dunia tayari imeshawaacha,unadhani watamkosa adui,kwao sasa adui zao ni mwl nyerere,ukristo hasa romani katoliki,na serikali.Huu si uungwana. Nije kwenye sensa,serikali haifanyi sensa ili kugawa vitabu vya dini,wala kujenga nyumba za ibada,wala kutambua idadi yao kimadhehebu.Inafanya sensa ili ipate idadi halisi ya watu kwa ajili ya mipango ya maendeleo. Waislamu kama hawataki kuhesabiwa watuambie wana mipango gani ya maendeleo ya waumini wao. Ushauri wangu kwao ni kwamba wangewafanya wakristo kuwa marafiki ili waweze kujifunza mbinu zao za mafanikio kuliko kuwaona wakristo maadui kwa mafanikio yao. Nawasilisha
 
wanabodi wenzangu.

Kwanini serekali na makanisa yanapinga Kipengele cha dini ktk sensa ?
Hivi kweli linaweza likaigawa Taifa?

nasikia kila mwaka serekali inatoa fedha kwa ajili ya dini ya kikiristo kuendesha miradi yao kama Hospitali, shule na Hoduma za maji kwa ajili ya waumini wakiristo waliopo tz.

Mfano hai wa hili ni ule mkataba wa mwaka 1992 ujulikanao kama; "Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU)".

"Sisi tuliotia saini katika MKATABA HUU WA MARIDHIANO; ambao ni Makanisa chini ya Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) (ambao hapa watajulikana kama "Makanisa") kwa upande mmoja na Serikali ya Muungano wa Tanzania (ambayo katika mkataba huu itajulikana kama "Serikali")… kwa ajili ya Serikali na Makanisa katika kuendeleza sekta ya huduma za jamii, kwa lengo la kupata fedha, kuratibu, kuwezesha, kuboresha, kupanua na kukarabati huduma hizi kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa Tanzania".
Jee hii nayo sio ubaguzi na kuligawa taifa?Kweli kanisa litakubali kutumia pesa kwa ajili ya maendeleo ya waislam?
Endapo waislam watasema hii inatosha na inatosha na serekali istishe fedha za umma kugaiwa dini moja. jee amani itakuwepo?
Au umoja na mshikamano huwa kwa dini moja kumzidi dini nyegine kwa matumizi ya fedha za serekali yetu?
sasa kama serekali itoa pesa kwa ajili ya kanisa kwenye mashule yao. hizi peesa za bajeti ya Wizara ya Elimu na wizra ya afya inafanyiwa nini? Hivi kweli kanisa litakuwa na moyo kutoa pesa wanazopewa na serekali kutoa hoduma za kwa jamii ya kiislam? Mifano midogo tu hapa tunaiona linapokuja swala la msingi makanisa yanapinga. yatakubali kutoa fedha kwa ajili ya maendeleo. AU TUNAPIGWA CHANGA LA MACHO?
KWA NINI MNAHANGAIKA,KWA NINI MNASONONEKA NA KULALAMIKA?MPOKEE YESU LEO KUWA MWOKOZI WAKO,NAKUHAKIKISHIA UTAISHI MAISHA YENYE FURAHA,hasira na chuki havitakutesa tena.KARIBU KWENYE KANISA LINALOAMINI WOKOVU UISHI MAISHA YA USHINDI.
 
wanabodi wenzangu.
Kwanini serekali na makanisa yanapinga Kipengele cha dini ktk sensa ?

Kwa nini serikali na makanisa wakubali kipengele cha dini katika sensa ili hali hakina tija?


Hivi kweli kipegele hiki kitawafanya waislamu waache kupeleka watoto madrasa wakati wenzao wanaenda darasani? afu badae wanaanza kulalamika wanaonewa wakifeli kwenye mitihani?
 
Mimi nadhani hujafanya utafiti makanisani sensa ni kila jpili kaingie uone hawakatazi, hawahitaji kufanyiwa na serikali
 
Hivi hiyo MOU ikisitishwa halafu makanisa yakaamu kuwatibu waumini wa kikristo tu patakalika?
 
Nchi nyingi zaidi duniani kipengele cha dini katika sensa huwa kinajumuishwa,kwa upande wangu sioni tatizo lolote kama sensa ya mwaka huu itajumuisha kipengele hicho ili kuepuka manung'uniko ambayo badala yake ndiyo huenda yakawagawa wananchi kwa upande fulani wakahisi hawatendewi haki!!
Nchi zipi?
 
wanabodi wenzangu.

Kwanini serekali na makanisa yanapinga Kipengele cha dini ktk sensa ?
Hivi kweli linaweza likaigawa Taifa?

nasikia kila mwaka serekali inatoa fedha kwa ajili ya dini ya kikiristo kuendesha miradi yao kama Hospitali, shule na Hoduma za maji kwa ajili ya waumini wakiristo waliopo tz.

Mfano hai wa hili ni ule mkataba wa mwaka 1992 ujulikanao kama; “Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU)”.

“Sisi tuliotia saini katika MKATABA HUU WA MARIDHIANO; ambao ni Makanisa chini ya Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) (ambao hapa watajulikana kama “Makanisa”) kwa upande mmoja na Serikali ya Muungano wa Tanzania (ambayo katika mkataba huu itajulikana kama “Serikali”)… kwa ajili ya Serikali na Makanisa katika kuendeleza sekta ya huduma za jamii, kwa lengo la kupata fedha, kuratibu, kuwezesha, kuboresha, kupanua na kukarabati huduma hizi kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa Tanzania”.
Jee hii nayo sio ubaguzi na kuligawa taifa?Kweli kanisa litakubali kutumia pesa kwa ajili ya maendeleo ya waislam?
Endapo waislam watasema hii inatosha na inatosha na serekali istishe fedha za umma kugaiwa dini moja. jee amani itakuwepo?
Au umoja na mshikamano huwa kwa dini moja kumzidi dini nyegine kwa matumizi ya fedha za serekali yetu?
sasa kama serekali itoa pesa kwa ajili ya kanisa kwenye mashule yao. hizi peesa za bajeti ya Wizara ya Elimu na wizra ya afya inafanyiwa nini? Hivi kweli kanisa litakuwa na moyo kutoa pesa wanazopewa na serekali kutoa hoduma za kwa jamii ya kiislam? Mifano midogo tu hapa tunaiona linapokuja swala la msingi makanisa yanapinga. yatakubali kutoa fedha kwa ajili ya maendeleo. AU TUNAPIGWA CHANGA LA MACHO?

Unatia aibu sana wewe, looo!!!
Kila siku watu wote wa natibiwa pale KCMC na bugando bila ubaguzi wala kuulizwa dini yako ni ipi, Tumaini university na SAUT, hakuna anayeuliza dini ya mtu. Kuna shule ya sekondari ya wasichana hapo pwani inayofaulisha sana inaitwa santa marian, watoto wa mashehe wapenda maendelo wanasoma pale, wanapata A zote hata Bible knowledge. wewe mwenyewe umesema kuwa huo mkataba ni kwa ajili ya huduma za jamii, na sio huduma za wakristu. Mimi binafsi niliwahi kupewa mkataba wa kuchimba visima vya maji vijijini. pia kanisa langu liliwahi kupewa mkataba kupitia shirika fulani lijulikanalo kama SIMAVI wa kujenga vyoo katika shule za msingi zinalolizunguka. waumini walipotangaziwa kanisani walijitolea nguvu kazi, na shirika likanunua vifaa vyote vya ujezi, kwili vyoo vilijengwa vizuri bila ufisadi.

kwa hiyo sioni ubaya wowote kwa hili. nilitegemea kuwa waislamu mtaomba mikataba ya aina hiyo ili mjenge hosipitali za rufaa, shule pamoja na huduma nyingine za jamii maeneo ambayo yana waislamu wengi ili kuharakisha maendeleo.

 
BWANA YESU ANAOKOA, KWA NINI MNAUMIZA AKILI HIVI?KWA NINI MNASONONEKA?KWA NINI MNAHANGAIKA NA HII DUNIA? MPE BWANA YESU MAISHA YAKO NA KUHAKIKISHIA HUTA JUTA,roho ya hasira,chuki na mambo mabaya yataondoka nawe utakuwa mwenye furaha muda wote.KARIBU KANISA LOLOTE LILILOKARIBU NAWE LINALOAMINI WOKOVU.
AU TUWASILIANE KWA EMAIL :johnhella2007@yahoo.com hiyo email naitumia hata facebook ukisearch kwa email hiyo utanipata
 
Sensa ni kitu muhimu kwa maendeleo ya wananchi. Umuhimu wa sensa ulionekana hata kipindi cha Yusuf na Maria kurudi nyumbani kwao kuhesabiwa wakati wa sensa!
Kumbe elimu ya kata ni afadhali mara mia kuliko elimu ya madrasa!!
 
in fact mkuu.. hawa wa2 bado nawashangaa hvi hawaoni jinsi mashirika ya kidini yanavyo changia maendeleo ya taifa... mfano. kanisa katoriki lifunge huduma zake zote cjui nchi yetu itaishia wapi,? makanisa ya kikiristo ndo yanamiliki mahospital,mashule,vyuo..!! wakifanya vyema ktk mitihani eti wanapendelewa..!

Daima mvivu ni mlalamishi na akiona mtu kafanikiwa kwa juhudi yake husema kapendelewa. Kalieni majungu tu, mtavuna *****.
 
in fact mkuu.. hawa wa2 bado nawashangaa hvi hawaoni jinsi mashirika ya kidini yanavyo changia maendeleo ya taifa... mfano. kanisa katoriki lifunge huduma zake zote cjui nchi yetu itaishia wapi,? makanisa ya kikiristo ndo yanamiliki mahospital,mashule,vyuo..!! wakifanya vyema ktk mitihani eti wanapendelewa..!

Support. Daima mvivu ni mlalamishi na akiona mtu kafanikiwa kwa juhudi yake husema kapendelewa. Acha wakalie majungu tu, watavuna uharibifu.
 
unaongelea dini hii iliyoanzishwa pale paulo alipotundikwa msalaban na wayahud wakidhani nabii issa(yesu wa ukweli)wakapigwa changa la macho na maana mpaka leo alama ya dini yao ni njia panda yaani hawajui waelekee wapi,huwezi fananisha na dini ya haki ya mwenyezi mungu yenye alama ya nyota na mwezi ikimaanisha dini iliyoumbwa kabla ya mwanaadamu(kumbuka mwenyezi mungu aliumba dunia na vyote vilivyomo kabla ya binaadamu)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom